JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Hapo sio kujipendekeza bro! Inawezekana wamelazimishwa, kama wanavyolazimishwa kuchangia mwenge, au kuna kenge wawili wamepewa mpunga,wawe chawa, wajitokeze, wawashwawishi baadhi ya, wenzao, waseme wanatoa mchango, ila ki ukweli pesa imetoka hazina! Waalimu ni wengi Sana, na wananjaa(wanafanywa wawe na njaa), hakuna mwalimu wa kutoa pesa achangie huu upuuzi!Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata muda WA uchaguzi haujafika na mkashindwa kuchangishana mkawanunulia Viti Walimu wenzenu?
Baadhi ya Walimu mna laana wallah hio sio kawaida kabisa.
View attachment 2883857View attachment 2883858
Ni kama wale kenge wenngine wanaojiita vyama vya siasa waliokuwa wanapinga maandamano, unaweza ukafikiri wana maaana kumbe wajinga,na njaa ndio inawasumbua.