Pre GE2025 Maajabu ya Walimu: Wachangishana kumchukulia Rais Samia form lakini wameshindwa kuwachangia viti walimu wenzako, wanakaa chini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata muda WA uchaguzi haujafika na mkashindwa kuchangishana mkawanunulia Viti Walimu wenzenu?

Baadhi ya Walimu mna laana wallah hio sio kawaida kabisa.

View attachment 2883857View attachment 2883858
Mada ya hovyo hii.

Hivi hujui kama hao waliomchangia raisi ni makada wa CCM?
Hata wakiwa walimu ila ajenda zao haziwakilishi walimu tena unaweza ukakuta kutengeneza hiyo script wao ndio wamepewa pesa.

Hizo ni propaganda tu kisiasa.

Halafu haiwezekani walimu wakose viti, Kwa miezi ya karibuni hakuna ajira mpya zilizotoka, hivyo walikiwa hawana viti tangu mwezi wa saba mwaka jana??

Kama viti vimeharibika wameshindwa hata kuchukua madawati ya wanafunzi??

Wameshindwa hata kutengeneza vyao ambapo gharama ya kiti hata 30,000 unapata
 
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata muda WA uchaguzi haujafika na mkashindwa kuchangishana mkawanunulia Viti Walimu wenzenu?

Baadhi ya Walimu mna laana wallah hio sio kawaida kabisa.

View attachment 2883857View attachment 2883858
Maigizo yamewatokea puani
 
Sisi w
Metalaxyl -M + Mancozeb
Sisi walimu sijui katuroga nani
 
Nia ya walimu ni nzuri sana lakini wamekosa ubunifu wa kufikisha hicho walichokikusudia, hao ni wasomi huo mchango wa m1.6 ili achukue fomu ni kukosa adabu kabisa, huo mchango wao hata sisi uvccm tukichanga sh 1,000 kila kichwa tunaweza kumchukulia fomu, rais wetu ni mpenda maendeleo sana, ilitakiwa wachukue hata kwenye chama hata milioni 100 badala ya kununua tshirts na kufanya sherehe za kila mwaka wamkabidhi rais kwa ajili ya Kuchangia maendeleo ya elimu hasa , bado rais angewashukuru sana, kwa sababu wameunga juhudi zake, mimi kama rais wangu nashauri azichukue halafu atafute shule ambayo ina mahitaji sana aiikabidhi hiyo shule , nia yao kama ingekuwa njema wasingefanya matangazo kuwa wanachanga fedha ya kumchukulia fomu rais, maana yake kuna kitu wanatafuta, kama ni kuongezewa mishahara hapana bado mama anajenga uchumi wa nchi na kutengeneza ajira mpya kwa maelfu ya vijana ambao hatuna kazi, wewe una mshahara unataka uongezewe na wakati sisi vijana hatuna ajira na tuna elimu kama yako.
 
Walimu ni nguzo kuu tegemewa kwa ajili ya kuweka materials vichwani mwa watoto lakini kuna wakati huwa wanafanya mambo ya ajabu sana hadi unajiuliza kada yao wanaichukuliaje?

Nadhani si wote wanao-support mambo kama haya bali ni viongozi wao kuwa so excited ili kuonekana mwisho nao wao wasogezwe nafasi za juu sababu ualimu wameuchoka wanaufanya kama daraja tu
Kazi nyingi hapa bongo ndo zipo hivyo....... Ndo maana kwa sasa tunazalisha machawa wa kutoshq
 
Jifunze matumizi ya Aya wewe UVCCM
 
Mada ya hovyo hii.

Hivi hujui kama hao waliomchangia raisi ni makada wa CCM?
Hata wakiwa walimu ila ajenda zao haziwakilishi walimu tena unaweza ukakuta kutengeneza hiyo script wao ndio wamepewa pesa.
Jitahidi UWE na akili, shida sio Nani katoa pesa, shida sio CCM, shida ni CWT au mwamvuli WA Walimu kukubali "kutumiwa"! Wewe kama unajua pesa walitoa CCM Hilo ni Wewe sio Sisi, Sisi tunaiona CWT
 
Mambo mengine yana lengo la kuidhalilisha tu fani ya ualimu. Sasa hao walimu nao wanakosa vipi viti vya kukalia mpaka wakae juu ya hayo madaftari na kujipiga picha!
IMG-20240126-WA0025.jpg
 
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata muda WA uchaguzi haujafika na mkashindwa kuchangishana mkawanunulia Viti Walimu wenzenu?

Baadhi ya Walimu mna laana wallah hio sio kawaida kabisa.

View attachment 2883857View attachment 2883858
Hapo sio swala LA, kujipendekeza bro, there is more than what meats the eyes.
Inawezekana wamelazimishwa kama wanavyolazimishwa kuchangia
 
Ndio walio kufanya uandike hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🪑[emoji575]

Watu wamefundishwa na aina mbalimbali za walimu. Waliofundishwa na aina ya walimu wanafiki na wasiojitambua kama hao wanaowalazimisha walimu kutoa michango ya kijinga, hata michango yao hapa JF au hata huko mitaani utawajua.
 
Walimu ni nguzo kuu tegemewa kwa ajili ya kuweka materials vichwani mwa watoto lakini kuna wakati huwa wanafanya mambo ya ajabu sana hadi unajiuliza kada yao wanaichukuliaje?

Nadhani si wote wanao-support mambo kama haya bali ni viongozi wao kuwa so excited ili kuonekana mwisho nao wao wasogezwe nafasi za juu sababu ualimu wameuchoka wanaufanya kama daraja tu

Baadhi ya walimu ndio waliobeba laana kwa nchi hii. Badala ya wao wenyewe kuwa chanzo cha maarifa, wamekuwa kaburi la maarifa, chanzo cha unafiki, chimbuko la ujinga.
 
Watu wamefundishwa na aina mbalimbali za walimu. Waliofundishwa na aina ya walimu wanafiki na wasiojitambua kama hawa, hata michango yao hapa JF au hata huko mitaani utawajua.
Saaaaafi Sana sana, umeiweka vyema
 
Back
Top Bottom