Songwe Yetu
Member
- Nov 22, 2021
- 84
- 99
Wilaya Songwe bado imeendelea na maajabu yake. Wasimamizi waliofanya vibaya mpaka inatia kinyaaa bado mkurugenzi anawabembeleza.
Kuna sehemu tulipita wakati tunakagua tukaacha maelekezo wafanye marekebisho kwani ujenzi ulikuwa chini ya kiwango warekebishe madirisha, milango lakini kwa bahati mbaya marekebisho hayo hayajafanyika tuliporudi kukagua tena sasa sijajua tatizo nini?
Mkurugenzi chukua tahadhari kwa waliosimamia majengo ikumbukwe Rais wetu anatafuta hela kwa ajili ya miradi ya maendeleo na sio za kula watu. Sasa hivi wanawahonga watu wa halmashauri ili majengo yapokelewe hususani injinia wa wilaya.
Kuna baadhi ya majengo hayajakamilika na mengine hayapokelewa wakati muda wa kukabidhi umeshapita. Naomba TAMISEMI na WIZARA YA ELIMU iimulike wilaya hii upande wa majengo hususani ya zahanati na shule yanayojengwa yapo chini ya kiwango Mkuu wa Wilaya na mkurugenzi wapo tu ofisini.
Tamisemi iwachukulie hatua kwa kushindwa kusimamia maendeleo katika wilaya hii.