Maajabu ya Wilaya Songwe ni balaa

Maajabu ya Wilaya Songwe ni balaa

Tuwekee usibitisho Hapa wa unachokisema..
Vinginevyo Aya Ni Majungu Na Fitina Zako.
 
Wilaya Songwe bado imeendelea na maajabu yake. Wasimamizi waliofanya vibaya mpaka inatia kinyaaa bado mkurugenzi anawabembeleza.

Kuna sehemu tulipita wakati tunakagua tukaaacha maelekezo wafanye marekebisho kwani ujenzi ulikuwa chini ya kiwango warekebishe madirisha, milango lakini kwa bahati mbaya marekebisho hayo hayajafanyika tuliporudi kukagua tena sasa sijajua tatizo nini?

Mkurugenzi chukua tahadhari kwa waliosimamia majengo ikumbukwe Rais wetu anatafuta hela kwa ajili ya miradi ya maendeleo na sio za kula watu. Sasa hivi wanawahonga watu wa halmashauri ili majengo yapokelewe hususani injinia wa wilaya.

Kuna baadhi ya majengo hayajakamilika na mengine hayapokelewa wakati mda wa kukabidhi umeshapita. Naomba TAMISEMI na WIZARA YA ELIMU iimulike wilaya hii upande wa majengo hususani ya zahanati na shule yanayojengwa yapo chini ya kiwango Mkuu wa Wilaya na mkurugenzi wapo tu ofisini.

Tamisemi iwachukulie hatua kwa kushindwa kusimamia maendeleo katika wilaya hii.
Nazani ungemtumia DED Meseji Direct ingenoga zaidi
 
mim sijui hayo.maajbu yangu ni kuwa pale mjin karibu na tanesko kunauzwa maziw mtind.songwe dairy aloo ni mtam balaa.siku nikala parachich hapa vwawa ni tam balaa

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom