Maajabu ya Wilaya Songwe ni balaa

Maajabu ya Wilaya Songwe ni balaa

Majengo mengi yanayojengwa kwa fosi akaunti hayana ubora kabisa yani ukienda kuangalia ni kituko nyufa kibao bodi zinabanduka kabla hayajakabiziwa
Kwahiyo ulitaka yajengwe na mainjinia😀😀
 
Kwahiyo ulitaka yajengwe na mainjinia😀😀
Kwa akili za hivi bado tutaendelea kula mavi mpaka tukome.
Mnakagua miradi mnawapa marekebisho ya kufanya hawafanyi nakumbuka kuna shule moja ya sekondari tulipita tukamwambia afanye marekebisho upande wa madawati ya wanafunzi, rangi ya ukutani na madirisha yaliwekwa vibaya lakini cha ajabu hajafanya marekebisho hata kidogo na ni karibia wote walioambiwa wafanye marekebisho hawajafanya. Halafu tukisema mnasema tunataka nafasi ya mtu fulani.Tamisemi wachukulieni hatua wakuu wa idara walioshindwa kuwasimamia wakuu ili liwe fundisho kwao.Kaka yangu hapo anakwambia mnataka mainjinia ndio wajenge? Injia hajengi yeye kazi yake ni supervision tuu(usimamizi wa jengo) akisema liko sawa ujenzi unaendelea. Akikataaa yanafanyika marekebisho ila mainjinia wa siku hizi wengi wamekuwa ndio chanzo cha matatizo kwa kupokea rushwa.Hivi injia bado yuko ofisini tu wakati majengo mengi yamepasuka hata kabla ya kukabidhiwa na kutumika, tukisema mnasema tunataka nafasi yake.mkurugenzi, mkuu wa wilaya na wenyewe wako tuu ofisi mpaka sasa.Tamisemi mpk sasa mpo usingizi wa pono.
 
Kwa akili za hivi bado tutaendelea kula mavi mpaka tukome.
Mnakagua miradi mnawapa marekebisho ya kufanya hawafanyi nakumbuka kuna shule moja ya sekondari tulipita tukamwambia afanye marekebisho upande wa madawati ya wanafunzi, rangi ya ukutani na madirisha yaliwekwa vibaya lakini cha ajabu hajafanya marekebisho hata kidogo na ni karibia wote walioambiwa wafanye marekebisho hawajafanya. Halafu tukisema mnasema tunataka nafasi ya mtu fulani.Tamisemi wachukulieni hatua wakuu wa idara walioshindwa kuwasimamia wakuu ili liwe fundisho kwao.
Declare interest.

Kwanza wewe Ni Nani hapo Songwe?

Tunajua Force Account zimeua ULAJI wa MAINJINIA UCHWARA kupitia TENDER UCHWARA.

Kwahiyo kelele lazima ziwepo. Haziepukiki.
 
SERIKALI INAFANYA KAZI KUPITIA MAANDISHI KATIKA MAKARATASI



OVAAA
 
Mpumbavu mkubwa wee! Wewe ni kibaka tu kazi majungu! Hautafanikiwa kwa ushenzi wako!

Malaya mkubwa!
Mbona unamtukana mwenzio bila sababu ya msingi? Imagine yeye ndio angekuwa anakutukana hivyo ungejisikiaje ndugu yangu.
Mjibu tu kistarabu kama wa kuelewa atakuelewa tu sio lazima kutumia matusi
 
Ondoa majungu kama una hoja mfuate mkurungenzi ofisini kwake, njia uliyotumia kufikisha ujumbe wako ni kutaka kufitinisha
Kutoa taarifa na kupata taarifa ni haki ya kila raia,
Acha aendelee kutupasha,kama kuna ukweli itajulikana na kama ni uongo itajulikana,
Nchi hii madudu ni mengi kila kona
 
Ke
Declare interest.

Kwanza wewe Ni Nani hapo Songwe?

Tunajua Force Account zimeua ULAJI wa MAINJINIA UCHWARA kupitia TENDER UCHWARA.

Kwahiyo kelele lazima ziwepo. Haziepukiki.
Kelele hizi haziusiani na tendwa uchwara kinachozungumziwa ni ubovu wa majengo yaliojengwa.
 
Output inakuweje mkuu au unaweza ukajenga jengo hata kwa maandishi na jengo lisionekane ili mradi maandishi yapo tu inatosha mkuu?
Hapana haitoshi nachomaanisha NI kwamba kama report mliyotuma haijafanyiwa kazi Basi wasiliana na mkurugenzi wa usalama wa taifa kupitia kwa katibu mkuu ..ukifanya hivyo utakuwa umelitendea haki taifa Kisha nawa mikono yako.let the rest.
 
Kutoa taarifa na kupata taarifa ni haki ya kila raia,
Acha aendelee kutupasha,kama kuna ukweli itajulikana na kama ni uongo itajulikana,
Nchi hii madudu ni mengi kila kona
NI kweli hata sheria imesema kila mwananchi ana jukumu na wajibu wa kulinda.ila ingependeza Kama watumishi wa serikali wafundishwe namna ya kuwasilisha matatizo ngazi za juu zifuatilie kiundani na ikishindikana Basi.maana idara za ustawi serikalini Zipo Ila jamii hazistawi.why
 
Mbona unamtukana mwenzio bila sababu ya msingi? Imagine yeye ndio angekuwa anakutukana hivyo ungejisikiaje ndugu yangu.
Mjibu tu kistarabu kama wa kuelewa atakuelewa tu sio lazima kutumia matusi
Soma #7 na #9 utaelewa kwa nini anastahili!
 
Kwahiyo watu waharibu tusiseme kwa kuogopa kupiga watu majungu au unataka niweke tuhuma nzito zinazomhusu huyo injinia uchwala wako, ukiendelea ntamwaga upupu hapa. Wakuu ambao ndio wasimamizi wa kila siku walipaswa kuwajibishwa kwa makosa hayo.halafu umwambie injinia wako apunguze kuomba rushwa ili majengo yapokelewe.
Engineer ninamfahamu ni mtu wa kusimamia kwa uhakika sana miladi ndiyo maana mnampiga .kwa jina la Yesu mtashindwa.
 
Back
Top Bottom