Maajabu ya Wilaya ya Lushoto

Maajabu ya Wilaya ya Lushoto

Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo kwangu mimi haya ni maajabu

Wengi wa watu wakisikia wilaya ya lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji wake ni wasambaa...
Hiyo ipo Kwa wakerewe na wajita wakerewe wanaweza kuzungumza kijita ila wajita hawawezi kuzungumza kikerewe na wanaendana baadhi ya Mila na Tamaduni ata majina
 
Sasa Mkuu kwa level ya mtu ambaye umeweza hadi ku-post humu hicho ulicho-post kinaweza kuwa maajabu kweli? Shida iko hapo.
Mtoto aliyekulia masaki ukimpeleka hapo tu kigogo au mbagala kwake yeye itakua ni maajabu atashangaa sana kuona watu maisha watu wanayoishi

Wewe mwenyewe ukienda ukaona wabarbaig wanavyoishi utastaajabu sana
 
Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo kwangu mimi haya ni maajabu

Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji wake ni wasambaa ila ukienda lushoto utashangaa kuna makabila matatu wanaishi vizuri tu nayo ni wapare na wambugu

Wilaya ya Lushoto kuna wapare na wambungu ambao wako baadhi yao hawajui hata kisambaa ila cha ajabu mbungu akiongea huwezi mtofautisha na mpare ni kama lugha moja ila wanajitambulisha kama makabila mawili tofauti

Ni rahisi sana mbugu kuongea kipare, ni ngumu kwa mpare kuongea kimbugu japo atakua anamsikia kwa sababu lugha zao hazija-achana sana
Rubish
 
Niliwaza Irente na Magamba na baridi. [emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu nahitaji kujua kama rafiki zangu wasambaa wana hulka ya ubishi kama walivyo watani zangu waha, je tukiweka ligi ya ubishi kati ya muha na msambaa nani ana asilimia kubwa ya kuibuka mshindi?
 
Hiyo ipo Kwa wakerewe na wajita wakerewe wanaweza kuzungumza kijita ila wajita hawawezi kuzungumza kikerewe na wanaendana baadhi ya Mila na Tamaduni ata majina
Dah! kile kikerewe siyo poa......sidhani kama wahaya wanaweza kujaribu kuongea. Inasemekana kikara ni lugha iliyoibuka baada ya wakerewe kuishi pamoja na wajita kwenye kisiwa cha ukara, ni lugha ya katikati iliyowawezesha walau kuwasiliana kwa urahisi.​
 
Usiwe unapenda kujikita na petty issues kama hizo
Humu kila kinachokuwa posted kinatumika kama elimu kwa wasiojua,tukisema kila kitu kichukuliwe kwa udogo wake tutajikuta tunafunzana ujinga.

Though kusahihishana siyo dhambi!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Wakerewe na wajita ni kabila moja
Hapana, ni makabila mawili tofauti kabisa. Kwa makabila ya Wahaya na Wazinza ni rahisi sana kwako kuelewa Kikerewe kwani maneno mengi yanafanana hata kwa maana. Wajita wanashabihiana na Waruri na Wakwaya na kwa mbali kidogo Wakara ingawa matamshi yanakuwa tofauti kidogo.
 
Back
Top Bottom