Maajabu ya Yanga SC

Maajabu ya Yanga SC

wenyewe na wachambuzi wao TAKATAKA walioko kwenye payroll ya msomali wanakuambia Senzi ni bonge la CEO, bonge la CEO lililoshindwa hata kufanya simple logistic tu ya kujua kwamba marrakech kuna outspread ya kutisha ya COvid 19 kisa kisa maghorofa unapeleka team huko

Wakafika wakaanza kutumia official social media zao ku wa mock simba walioenda Rabat(bush) wakisema hatuwaoni huku mjini, kipo wapi sasa?????
simba waliobaki wanaenda kambi ya utulivu karatu arusha ,camp la kisasa wakimaliza kina Manula majukumu ya stars team inaenda camp nje probably Egypt
Mkuu hapo kwenye payroll apo
kila kituo wachambuzi wawili watatu wapo kwenye list ya msomali
 
Kwenye jezi za simba tumeongeza na tarehe ya kuzaliwa kwa Boss MO29 pamoja na matawi na Vunjabei nchi nzima
 
Back
Top Bottom