Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,409
- 6,773
Namsoma Maalim Aly Basaleh kisha najiuliza hawa wanaotoa shutuma hizi hawajui kuwa Kanisa lifaidi mabilioni ya fedha kutoka Hazina ya Taifa sasa miaka 30?-JE BAKWATA KESHO WAKIWA NAO WANAPEWA WEWE KAMA WEWE UTAPATA KIASI GANI HAPO?? Waislam wa Tanzania mnalalamika sana bila kuja na solution: toka Mkapa awape Chuo cha Tanesco pale Msamvu Morogoro mpaka leo mmweshindwa ata kuwa na Tawi la hicho chuo chenu Mtwara au popote pale!! Hapa Wakulaumiwa ni Wakristo??Shule zenu za Secondari mbali na kutokuwa na wakristo zinaongoza kwa kufeli wanafunzi ata kwa zile za Zanzibar..... Je usawa mnaoutaka mtaupataje iwapo jamii kubwa ya watu wenu ni mamuma katika Ilimu Dunia?Brothers...
Historia ya uhuru wa Kenya haikamiliki bila Mau Mau na Wakikuyu.
Huku si kuiangalia historia hiyo kikabila.
Ndiyo ukweli wenyewe.
Historia ya uhuru wa Tanganyika haikamiliki bila kutaja mchango wa Waislam.
Huu ndiyo ukweli wenyewe.
Iko wewe unachukizwa na ukweli huu ni bahati mbaya.
Mna Hospital ngapi kubwa kama ilivyo KCMC ,Bugando au St. Francis? Unajua kuwa kama Bugando au KCMC zisingekuwepo Wagonjwa wanaohudumia hapo wengi wangetakiwa kuja Muhimbili. Bugando na Hospital zingine zinatibia Wakristo tu??
Zahanati na clinic zinazotobia watoto chini ya miaka 5 na clinic za Wajawazito zitawezaje kutoa huduma kama Serikali awasaidiii?? Pelekeni watoto wenu Shule vinginevyo mtalalamika milele