Maalim Aly Basaleh Sheikh Shujaa

Maalim Aly Basaleh Sheikh Shujaa

Brothers...
Historia ya uhuru wa Kenya haikamiliki bila Mau Mau na Wakikuyu.

Huku si kuiangalia historia hiyo kikabila.

Ndiyo ukweli wenyewe.

Historia ya uhuru wa Tanganyika haikamiliki bila kutaja mchango wa Waislam.

Huu ndiyo ukweli wenyewe.
Iko wewe unachukizwa na ukweli huu ni bahati mbaya.
Namsoma Maalim Aly Basaleh kisha najiuliza hawa wanaotoa shutuma hizi hawajui kuwa Kanisa lifaidi mabilioni ya fedha kutoka Hazina ya Taifa sasa miaka 30?-JE BAKWATA KESHO WAKIWA NAO WANAPEWA WEWE KAMA WEWE UTAPATA KIASI GANI HAPO?? Waislam wa Tanzania mnalalamika sana bila kuja na solution: toka Mkapa awape Chuo cha Tanesco pale Msamvu Morogoro mpaka leo mmweshindwa ata kuwa na Tawi la hicho chuo chenu Mtwara au popote pale!! Hapa Wakulaumiwa ni Wakristo??Shule zenu za Secondari mbali na kutokuwa na wakristo zinaongoza kwa kufeli wanafunzi ata kwa zile za Zanzibar..... Je usawa mnaoutaka mtaupataje iwapo jamii kubwa ya watu wenu ni mamuma katika Ilimu Dunia?
Mna Hospital ngapi kubwa kama ilivyo KCMC ,Bugando au St. Francis? Unajua kuwa kama Bugando au KCMC zisingekuwepo Wagonjwa wanaohudumia hapo wengi wangetakiwa kuja Muhimbili. Bugando na Hospital zingine zinatibia Wakristo tu??
Zahanati na clinic zinazotobia watoto chini ya miaka 5 na clinic za Wajawazito zitawezaje kutoa huduma kama Serikali awasaidiii?? Pelekeni watoto wenu Shule vinginevyo mtalalamika milele
 
Cha msingi hapa si kuutetea mkataba Kwa kuwa tu unawahusu tunaoamini tuna nasaba nao.Huo ni ukaburu,inabidi BAKWATA iidai serikali MOU sawa na taasisi za upande wa pili.Bakwata ijenge shule,hospital n.k.ili kuwahudumia Watanzania.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom