Maalim Seif achukua fomu ya Uenyekiti ACT-Wazalendo

Maalim Seif achukua fomu ya Uenyekiti ACT-Wazalendo

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
631
Reaction score
1,577
Kwenye ukurasa wake wa Twitter Maalim Seif ameandika hivi punde:

"Kufuatia kutangazwa kuanza kwa Uchaguzi ndani ya Chama cha @ACTwazalendo Ngazi ya Taifa leo nimeamua kutumia haki yangu ya kikatiba kuchukua fomu kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa. Nilikabidhiwa fomu na Katibu Mkuu, Ndugu Dorothy Semu kwenye Ofisi ya Chama, #Zanzibar" Seif Sharif Hamad on Twitter

20200130_120815.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uenyekiti ACT wazalendo Ni hopeless .Mwenyekiti ni Zitto Kabwe ambaye kajipa cheo Cha supreme leader kwenye katiba Cha Mkuu wa Chama.

Zitto Ni mkuu wa Chama Cha ACT wazalendo na Ni cheo Cha maisha hapigiwi kura!!!!
Maalimu Seif kajidhalilisha kuchukua fomu kugombea cheo hopeless
 
Uenyekiti ACT wazalendo Ni hopeless .Mwenyekiti ni Zitto Kabwe ambaye kajipa cheo Cha supreme leader kwenye katiba Cha Mkuu wa Chama.

Zitto Ni mkuu wa Chama Cha ACT wazalendo na Ni cheo Cha maisha hapigiwi kura!!!!
Maalimu Sif kajidhalilisha kuchukua fomu kugombea cheo hopeless
Tulia wewe mamluki !
 
Ndivo zitto alikueleza hayo au umejitungia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndivo zitto alikueleza hayo au umejitungia

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kasome katiba ya ACT wazalendo
Mkiu wa Chama Ana nguvu kuliko mwenyekiti wa Chama anayechaguliwa kwa kura

Seif alitakiwa asome katiba kwanza
 
Zitto atabakia kuwa mbunge hata wakuteuliwa na maisha yataendelea vilevile
 
Kasome katiba ya ACT wazalendo
Mkiu wa Chama Ana nguvu kuliko mwenyekiti wa Chama anayechaguliwa kwa kura

Seif alitakiwa asome katiba kwanza
Ninyi mnaomsujudia mwenyekiti wenu huwa hamujioni.
 
Sikatai na simpingi Maalim Seif kuchukua fomu kwa sababu hata katiba yao ni kweli inawapa haki wanachama kuchukua fomu na kugombea nafasi mbalimbali chamani.
Suala ni kama Mh. Zitto atakubali kuachia ngazi, that's my concern kwa sababu nijuavyo mimi ni ngumu sana hawa waanzilishi kuachia ngazi kwa sababu ukiangalia kwanza ACT bado haijafikia coverage stahiki hivyo ni kama bado inapigana vikumbo na vyama vingine kuendelea kuexist, pili mwanzilishi wa ACT anakuwa na perspectives zake na ndizo zilizopelekea kuanzisha chama hivyo haziwezi kufanana na mtu ajaye, tatu Katiba lazima inampa nguvu Zitto, sema nisiongee sana nitaendelea kuifuatilia ngoma hii kwa sababu naamini ni ngoma ya kienyeji na inafanana kama tuliyohitimisha majuzi ya kina Mbowe.

Don't hunt what you can't kill.
 
Wapinzani wakitaka kutetea mabadiriko ya katiba na kutetea demokrasia iliyodolola kutokana na chama tawala kutaka kushika hatamu zote za uongozi.Inatakiwa wawe na alliance ya kuungana na vyama vingine wawe na common goal ya mabadiriko.Waachane na kujipersonalise wawe na coalition yenye nguvu mpaka demokrasia ipatikane.
 
Huyu jamaa hua namkubali Uncontrollably and Unconditionally..
Very smart
 
Sikatai na simpingi Maalim Seif kuchukua fomu kwa sababu hata katiba yao ni kweli inawapa haki wanachama kuchukua fomu na kugombea nafasi mbalimbali chamani.
Suala ni kama Mh. Zitto atakubali kuachia ngazi, that's my concern kwa sababu nijuavyo mimi ni ngumu sana hawa waanzilishi kuachia ngazi kwa sababu ukiangalia kwanza ACT bado haijafikia coverage stahiki hivyo ni kama bado inapigana vikumbo na vyama vingine kuendelea kuexist, pili mwanzilishi wa ACT anakuwa na perspectives zake na ndizo zilizopelekea kuanzisha chama hivyo haziwezi kufanana na mtu ajaye, tatu Katiba lazima inampa nguvu Zitto, sema nisiongee sana nitaendelea kuifuatilia ngoma hii kwa sababu naamini ni ngoma ya kienyeji na inafanana kama tuliyohitimisha majuzi ya kina Mbowe.

Don't hunt what you can't kill.
ACT Ina viongozi wakuu wa juu wawili Kuna Zitto Kabwe yeye Ni mkuu wa Chama hachaguliwi.Katiba imempa cheo Cha mkuu wa Chama .Yeye kateuliwa na Allah ambaye ndie kampa cheo Cha supreme leader wa Chama kule Iran anaitwa Ayatollah .Kwa hiyo Act wazalendo Kuna Ayatollah Zitto Kabwe Kamennei na Kuna mwenyekiti wa Cha ambaye huchaguliwa .Zitto Kabwe sio.Mwenyekiti wa ACT wazalendo mwenyekiti yupo jina nimemsahau ninmzee mmoja Ana macho.mekundu hivi Kama mvuta bangi.Ila huwa hasikiki hicho ndicho cheo Maalim Seif anataka akichukue bacho.huyo mzee sasa hivi anakishikilia.Kwa hiyo sio kwamba Seif anachukua uenyekiti wa Zitto Kabwe hapana.Jua liwake mvua inyeshe zitto.kabwe Ana cheo chake Cha kudumi Cha mkuu wa Chama.Huko chini kaacha wachagueni wapendavyo ila yeye hahusiki kuchaguliwa
 
Eisitii bara siioni sana labda target ni Zenji kama replacement ya CUF
 
Back
Top Bottom