ACT Ina viongozi wakuu wa juu wawili Kuna Zitto Kabwe yeye Ni mkuu wa Chama hachaguliwi.Katiba imempa cheo Cha mkuu wa Chama .Yeye kateuliwa na Allah ambaye ndie kampa cheo Cha supreme leader wa Chama kule Iran anaitwa Ayatollah .Kwa hiyo Act wazalendo Kuna Ayatollah Zitto Kabwe Kamennei na Kuna mwenyekiti wa Cha ambaye huchaguliwa .Zitto Kabwe sio.Mwenyekiti wa ACT wazalendo mwenyekiti yupo jina nimemsahau ninmzee mmoja Ana macho.mekundu hivi Kama mvuta bangi.Ila huwa hasikiki hicho ndicho cheo Maalim Seif anataka akichukue bacho.huyo mzee sasa hivi anakishikilia.Kwa hiyo sio kwamba Seif anachukua uenyekiti wa Zitto Kabwe hapana.Jua liwake mvua inyeshe zitto.kabwe Ana cheo chake Cha kudumi Cha mkuu wa Chama.Huko chini kaacha wachagueni wapendavyo ila yeye hahusiki kuchaguliwa