ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 631
- 1,577
Tulia wewe mamluki !Uenyekiti ACT wazalendo Ni hopeless .Mwenyekiti ni Zitto Kabwe ambaye kajipa cheo Cha supreme leader kwenye katiba Cha Mkuu wa Chama.
Zitto Ni mkuu wa Chama Cha ACT wazalendo na Ni cheo Cha maisha hapigiwi kura!!!!
Maalimu Sif kajidhalilisha kuchukua fomu kugombea cheo hopeless
Uenyekiti ACT wazalendo Ni hopeless .Mwenyekiti ni Zitto Kabwe ambaye kajipa cheo Cha supreme leader kwenye katiba Cha Mkuu wa Chama.
Zitto Ni mkuu wa Chama Cha ACT wazalendo na Ni cheo Cha maisha hapigiwi kura!!!!
Maalimu Sif kajidhalilisha kuchukua fomu kugombea cheo hopeless
Kasome katiba ya ACT wazalendoNdivo zitto alikueleza hayo au umejitungia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni Ayatollah !Zitto Kabwe ni Kiongozi mwenye maono na maarifa sana!
Ninyi mnaomsujudia mwenyekiti wenu huwa hamujioni.Kasome katiba ya ACT wazalendo
Mkiu wa Chama Ana nguvu kuliko mwenyekiti wa Chama anayechaguliwa kwa kura
Seif alitakiwa asome katiba kwanza
ACT Ina viongozi wakuu wa juu wawili Kuna Zitto Kabwe yeye Ni mkuu wa Chama hachaguliwi.Katiba imempa cheo Cha mkuu wa Chama .Yeye kateuliwa na Allah ambaye ndie kampa cheo Cha supreme leader wa Chama kule Iran anaitwa Ayatollah .Kwa hiyo Act wazalendo Kuna Ayatollah Zitto Kabwe Kamennei na Kuna mwenyekiti wa Cha ambaye huchaguliwa .Zitto Kabwe sio.Mwenyekiti wa ACT wazalendo mwenyekiti yupo jina nimemsahau ninmzee mmoja Ana macho.mekundu hivi Kama mvuta bangi.Ila huwa hasikiki hicho ndicho cheo Maalim Seif anataka akichukue bacho.huyo mzee sasa hivi anakishikilia.Kwa hiyo sio kwamba Seif anachukua uenyekiti wa Zitto Kabwe hapana.Jua liwake mvua inyeshe zitto.kabwe Ana cheo chake Cha kudumi Cha mkuu wa Chama.Huko chini kaacha wachagueni wapendavyo ila yeye hahusiki kuchaguliwaSikatai na simpingi Maalim Seif kuchukua fomu kwa sababu hata katiba yao ni kweli inawapa haki wanachama kuchukua fomu na kugombea nafasi mbalimbali chamani.
Suala ni kama Mh. Zitto atakubali kuachia ngazi, that's my concern kwa sababu nijuavyo mimi ni ngumu sana hawa waanzilishi kuachia ngazi kwa sababu ukiangalia kwanza ACT bado haijafikia coverage stahiki hivyo ni kama bado inapigana vikumbo na vyama vingine kuendelea kuexist, pili mwanzilishi wa ACT anakuwa na perspectives zake na ndizo zilizopelekea kuanzisha chama hivyo haziwezi kufanana na mtu ajaye, tatu Katiba lazima inampa nguvu Zitto, sema nisiongee sana nitaendelea kuifuatilia ngoma hii kwa sababu naamini ni ngoma ya kienyeji na inafanana kama tuliyohitimisha majuzi ya kina Mbowe.
Don't hunt what you can't kill.
Tena hiyo ya kuteuliwa tam sana, kama wale madaktari wasio na mipaka. Atatufaa kweliZitto atabakia kuwa mbunge hata wakuteuliwa na maisha yataendelea vilevile