[emoji23][emoji23][emoji23]
Maalif Seif huwa ninamuelewa sana , na Znz hawatakuja kupata mtu mvumilivu kama Mzee Seif. Mzee akisema amechoka kuibiwa kwa kweli amemaanisha na sasa mimi naona ni sawa kabisa aruhusu watu waingie road kuipambania demokrasia ambayo ccm wao wamekuwa wakiiminya kila iitwapo leoMwenyekiti wa ACT Taifa anaongea na wanahabari jijini Dar es salam...
Seif miaka yote kabla ya kura husemaga hivyo!Maalif Seif huwa ninamuelewa sana , na Znz hawatakuja kupata mtu mvumilivu kama Mzee Seif. Mzee akisema amechoka kuibiwa kwa kweli amemaanisha na sasa mimi naona ni sawa kabisa aruhusu watu waingie road kuipambania demokrasia ambayo ccm wao wamekuwa wakiiminya kila iitwapo leo
Uzuri Membe ataondoka yeye na mke wake kwenda ADC ya Hamad RashidJasusi is there to stay
Uchaguzi ukimalizika anaukurupusha mgogoro kama wa NCCR ya Mrema na Mabere Marando 1995~2000
Siku nyingine Ccm ikigombana na wanachama wake wapinzani wapunguze shobo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu kunywa bia ntalipa. Umejua sana kuwanyoosha hao.
Usije shangaa ACT wakamvua uanachama Membe then uchaguzi ukaahirishwa kwa muda ili kuchapisha karatasi za kupigia kura upande wa Urais.Sawa kabisa. Kazi kubwa ni hiyo.
Maalim Seif, wewe ulikuwa ukishinda miaka yote ya uchaguzi Mkuu Zanzibar. Ulikuwa ukipokwa ushindi wako. Sasa basi. Safari hii uhuni huu basi.Mwenyekiti wa Act taifa anaongea na wanahabari jijini dar es salam
--
Nimesikitika sana kwa aliyoyazungumza ndugu yangu Bernard Membe, ACT-Wazalendo kupitia mkutano mkuu wa Taifa ulisema tunataka mabadiliko, mkutano mkuu ukatoa mamlaka kwa uongozi ili kuhakikisha tunashirikiana na vyama vya wenzetu ambavyo ni makini
Membe alipokuja kwenye chama chetu, tulimwambia lengo letu ni kushirikiana na vyama makini na tulimwambia uko tayari akajibu yupo tayari. Mgombea wetu Bernard Membe haonekani. Ni afadhali mzee wa ubwabwa (Hashim Rungwe) anaonekana. Kamati ya uongozi kwa kauli moja pamoja na Membe tulikubaliana tumuunge mkono Tundu Lissu.
Sio kwamba hatumpendi Membe. Mimi ‘nam-challenge’ afanye hizo kampeni zake tuone hizo kampeni ziko wapi. Nia yake ni kutaka kuwachanganya Watanzania.
Alilosema Zitto si lake! Nililosema mimi Seif Sharif Hamad si langu! Bali ni maamuzi ya Chama. Ni msimamo wa ACT Wazalendo anayekaribia kumshinda Magufuli ni Tundu Lissu na huyo ndiyo tunamsapoti"
Zimebaki siku sana kwa wananchi kufanya maamuzi ya kuwachagua viongozi wanaowataka wao. Tunaelekea katika Uchaguzi Mkuu wakati wagombea wetu kadhaa wameenguliwa katika kinyang’anyiro hicho lakini tukafanye maamuzi
Nyakati zote mimi nilikua nawazuia watu wasiingie Barabarani! Sasa mwaka huu simzuii mtu. Yoyote atakayeamua kufanya lolote Afanye hiyo Tarehe 27 na 28. Wazanzibar wamepanga kulinda Demokrasia kwa gharama yoyote! Wamevuta subira kwa muda mrefu. Sasa Imetosha
Tulimwambia Benard Membe mapema wakati anakuja, kuwa tunashirikiana na chama makini na alikubali. Tuliona mgombea wetu haonekani bora, hata Mzee wa Ubwabwa (Hashim Rungwe) ni bora kuliko mgombea wetu, tukakubaliana kumuunga mkono Tundu Lissu
Kuna njama za wazi za kukamata viongozi wetu wa ACT Wazalendo na inasemekana yako maeneo yaliyotafutwa ili kuwaficha viongozi hao ili wasijulikane walipo mpaka uchaguzi uishe, sasa tunajiuliza serikali ya Chama cha Mapinduzi inaogopa nini?
Kuna minong'ono kuwa kuna vijana wa ACT Wazalendo wamevalishwa nguo za askari ili wakapige kura ya mapema. Kwa taarifa tulizonazo kuna zaidi ya wazanzibar 50,000 walionyimwa haki yao ya msingi ya kikatiba ya kupiga kura Zanzibar.
Hahah daah ni mwana huko mitandaoni ndio aliamua kuwanyoosha hao jamaa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu kunywa bia ntalipa. Umejua sana kuwanyoosha hao manyang'au.
Kabla ya kuchukua maamuzi hayo walimshirikisha Membe kwenye huo mkutano wao?Mwenyekiti wa Act taifa anaongea na wanahabari jijini dar es salam