Membe alipitishwa na kamati kuu na mkutano mkuu wa chama. Kamati ya uongozi kwa kauli moja pamoja na Membe tulikubaliana tumuunge mkono Tundu Lissu.
Alilosema Zitto si lake! Nililosema mimi Seif Sharif Hamad si langu! Bali ni maamuzi ya Chama. Ni msimamo wa ACT Wazalendo anayekaribia kumshinda Magufuli ni Tundu Lissu na huyo ndiyo tunamsapoti"
Membe alipitishwa na kamati kuu na mkutano mkuu wa chama
Hivyo vikao havikufanyika hadi leo .Hivyo Membe ni mgombea halali aliyepitishwa kihali na vikao.Kumtengua kulitakiwa vikao vile vile vikae vitengue sio kigenge cha watu wawili watatu wakae waseme tumeamua.Membe shikilia hapo hapo ili vyama viwe na nidhamu ya kuzingatia katiba zao
Hata CHADEMA kusema wanamuunga mkono mgombea Urais Zanzibar ni uamuzi batili sababu wana mgombea Urais wao kule Zanzibar waliyemchagua kwa vikao halali. Na yeye asiogope ajitokeze kama Membe aseme yeye mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CHADEMA
Maalim mkorofi sana huyu babu,kaingia ACT juzi tu keshaanza migogoro,kwanini walimpa baraka zote Membe za kupeperusha bendera ya Urais ilhali wanajua kabisa hafai!?
... afisa mwandamizi; to put it clear.Membe ni afisa kipenyo yule
Kwa hiyo alijiteua mwenyewe kugombea urais?Membe alipokuja kwenye chama chetu, tulimwambia lengo letu ni kushirikiana na vyama makini na tulimwambia uko tayari akajibu yupo tayari.
Hongera CDM kwa kushutka mapema, vinginevyo, angekuwa nawapiga kutoea ndani. Ni afadhali ss anatokea nje.Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la membe huku akimtolea maneno makali sana.
Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana?
Membe unalo la kujifunza, pole sanaView attachment 1605967View attachment 1605968View attachment 1605969View attachment 1605971
The game is overMwenyekiti wa Act taifa anaongea na wanahabari jijini dar es salam
--
Nimesikitika sana kwa aliyoyazungumza ndugu yangu Bernard Membe, ACT-Wazalendo kupitia mkutano mkuu wa Taifa ulisema tunataka mabadiliko, mkutano mkuu ukatoa mamlaka kwa uongozi ili kuhakikisha tunashirikiana na vyama vya wenzetu ambavyo ni makini
Membe alipokuja kwenye chama chetu, tulimwambia lengo letu ni kushirikiana na vyama makini na tulimwambia uko tayari akajibu yupo tayari. Mgombea wetu Bernard Membe haonekani. Ni afadhali mzee wa ubwabwa (Hashim Rungwe) anaonekana. Kamati ya uongozi kwa kauli moja pamoja na Membe tulikubaliana tumuunge mkono Tundu Lissu.
Sio kwamba hatumpendi Membe. Mimi ‘nam-challenge’ afanye hizo kampeni zake tuone hizo kampeni ziko wapi. Nia yake ni kutaka kuwachanganya Watanzania.
Alilosema Zitto si lake! Nililosema mimi Seif Sharif Hamad si langu! Bali ni maamuzi ya Chama. Ni msimamo wa ACT Wazalendo anayekaribia kumshinda Magufuli ni Tundu Lissu na huyo ndiyo tunamsapoti"
Zimebaki siku sana kwa wananchi kufanya maamuzi ya kuwachagua viongozi wanaowataka wao. Tunaelekea katika Uchaguzi Mkuu wakati wagombea wetu kadhaa wameenguliwa katika kinyang’anyiro hicho lakini tukafanye maamuzi
Nyakati zote mimi nilikua nawazuia watu wasiingie Barabarani! Sasa mwaka huu simzuii mtu. Yoyote atakayeamua kufanya lolote Afanye hiyo Tarehe 27 na 28. Wazanzibar wamepanga kulinda Demokrasia kwa gharama yoyote! Wamevuta subira kwa muda mrefu. Sasa Imetosha
Tulimwambia Benard Membe mapema wakati anakuja, kuwa tunashirikiana na chama makini na alikubali. Tuliona mgombea wetu haonekani bora, hata Mzee wa Ubwabwa (Hashim Rungwe) ni bora kuliko mgombea wetu, tukakubaliana kumuunga mkono Tundu Lissu
Kuna njama za wazi za kukamata viongozi wetu wa ACT Wazalendo na inasemekana yako maeneo yaliyotafutwa ili kuwaficha viongozi hao ili wasijulikane walipo mpaka uchaguzi uishe, sasa tunajiuliza serikali ya Chama cha Mapinduzi inaogopa nini?
Kuna minong'ono kuwa kuna vijana wa ACT Wazalendo wamevalishwa nguo za askari ili wakapige kura ya mapema. Kwa taarifa tulizonazo kuna zaidi ya wazanzibar 50,000 walionyimwa haki yao ya msingi ya kikatiba ya kupiga kura Zanzibar.
Na yule Mzee aliyejinyea stand kule Geita anajitambua?Wapinzani nchi hii hawajitambui na itawachukua miaka mingi sana kujitambua
Walikuwa hawajamjua, ukitaka kujua kina cha maji ya bahari sharti uzamie.Maalim mkorofi sana huyu babu,kaingia ACT juzi tu keshaanza migogoro,kwanini walimpa baraka zote Membe za kupeperusha bendera ya Urais ilhali wanajua kabisa hafai!?
Jasusi kanyanganywa taulo, na amegoma kuchutama, huyu angepewa nafasi ya uenyekiti angekipasua ACT kabisaNinachojiuliza ni kwamba, Membe yupo hapo Dar. inamchukua gharama gani kwenda kuwanadi hata wagombea ubunge wa chama chake hapo Dar? Maana nauli ni sh. 400 kutoka anapoishi hadi kwenye mikutano ya kampeni!!!
Wewe ndio unajitambua?Wapinzani nchi hii hawajitambui na itawachukua miaka mingi sana kujitambua
Mimi huwa nashangaa sana mpaka leo vyama vya upinzani vinapokea wanasiasa kutoka ccm., Ni lazima upigwe mstari mwekundu hawa watu ata wakija vipi muachane nao, muachane nao ni virusi kuliko ata korona
Kwa hiyo alijiteua mwenyewe kugombea urais?
Jasusi is there to stay
Uchaguzi ukimalizika anaukurupusha mgogoro kama wa NCCR ya Mrema na Mabere marando 1995~2000
Siku nyingine Ccm ikigombana na wanachama wake wapinzani wapunguze shobo