Sema shida yako ni kwamba kwa nyinyi CHADEMA Maalim ni mtu sahihi sana na mnajipendekeza kweke wakati hana mpango na nyie.Wewe ndiyo lofa kwa kumuona Lipumba ni mungu wako hana Dhambi kumbe hukujua Lipumba ni mwizi zaidi aliiba pesa ya luzuku ya CUF kipindi Seif akiwa katibu mkuu
Maalim Seif alipomkandya Lipumba na kutoa ridhaa CUF kukubaliana na UKAWA kumsimamisha Lowassa kugombea urais mulimuona ni mtu wa maana sana! Lakini Maalim aliposusia uchaguzi wa mdogo wa madiwani 43 huku bara na kuiachia CHADEMA mkaona ni mtu bora sana.
Lakini kinyume chake Lipumba ni mbaya kwenu pale alipotumia pesa za ruzuku ya chama kusimamisha wagombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi mdogo wa baada ya uchaguzi mkuu wa 2015. Uchaguzi wenyewe hamkushinda hata kiti kimoja licha ya kuungwa mkono na genge la Maalim huku bara. na mliishia kama CUF tu. Maalim Seif ni "special mission" na hawezi kuwaletea neema CHAFEMA wala ACT.
Ndiyo maana na CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2020 mkarudisha fadhila kwa Maalim Seif wa ACT kwa kumtangaza kuwa ndo mgombea wenu wa urais Zenji wakati wa chama chenu yupo! Maalim aliwateka nyie watoto wadogo wa siasa na sasa mmepotea boya! Ulofa huo!