Maalim Seif akana kuitwa msaliti kwa kukubali SUK asema sio kila jambo unasusia!

Wewe ndiyo lofa kwa kumuona Lipumba ni mungu wako hana Dhambi kumbe hukujua Lipumba ni mwizi zaidi aliiba pesa ya luzuku ya CUF kipindi Seif akiwa katibu mkuu
Sema shida yako ni kwamba kwa nyinyi CHADEMA Maalim ni mtu sahihi sana na mnajipendekeza kweke wakati hana mpango na nyie.

Maalim Seif alipomkandya Lipumba na kutoa ridhaa CUF kukubaliana na UKAWA kumsimamisha Lowassa kugombea urais mulimuona ni mtu wa maana sana! Lakini Maalim aliposusia uchaguzi wa mdogo wa madiwani 43 huku bara na kuiachia CHADEMA mkaona ni mtu bora sana.

Lakini kinyume chake Lipumba ni mbaya kwenu pale alipotumia pesa za ruzuku ya chama kusimamisha wagombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi mdogo wa baada ya uchaguzi mkuu wa 2015. Uchaguzi wenyewe hamkushinda hata kiti kimoja licha ya kuungwa mkono na genge la Maalim huku bara. na mliishia kama CUF tu. Maalim Seif ni "special mission" na hawezi kuwaletea neema CHAFEMA wala ACT.

Ndiyo maana na CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2020 mkarudisha fadhila kwa Maalim Seif wa ACT kwa kumtangaza kuwa ndo mgombea wenu wa urais Zenji wakati wa chama chenu yupo! Maalim aliwateka nyie watoto wadogo wa siasa na sasa mmepotea boya! Ulofa huo!
 
Sasa kama wewe sio dogo basi niambie kwanini Seif na wafuasi wake hawakuamia CHADEMA licha ya wazee wa chama chenu kumkaribisha na kuahidi kumpa nafasi ya kugombea urais Zenji?

Kwanini Seif na watu wake hawakuahamia CHADEMA chama ambacho kilisimama upande wake kwenye mgogoro wa CUF na badala yake wakaingia ACT chama ambacho kilibaki "neutral" kwenye mgogoro huo?

Kwanini Maalim na watu wake hawakuahamia NCCR au NLD vyama ambavyo viliunda UKAWA na badala yake wakahamia ACT chama ambacho Tundu Lissu aliwahi kusema kiliundwa kimkakati na CCM kupambana na UKAWA?

Jibu maswali haya ili tuamini wewe si dogo bali mwanagu ndiye!
 
Tumia elimu vzr Kiongozi, wazazi wako waliwekeza hela nyingi sana ili kukomboa fikra zako. Ebu watendee haki....!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndiyo lofa na umepotea boya wewe njaa zimekufanya ujitoe fahamu kutetea njaa za seif ukiwa uteuzi haramu wa njia za kishetani
 
Anzisha chama chako
 
Maalim bunya tu mafao na mwanao Mwami, Jussa amekuwa kiwete huku nyie mnajiona wajanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…