Uchaguzi 2020 Maalim Seif anapodai "Mamlaka Kamili" anamaanisha kuvunja Muungano?

Uchaguzi 2020 Maalim Seif anapodai "Mamlaka Kamili" anamaanisha kuvunja Muungano?

Anamaanisha hivi
" Akiwa Kiwani, mkoa wa Kusini Pemba, Maalim Seif aliwataka wananchi kumchagua ili kumpa nafasi ya kuleta mabadiliko ambayo yatahusisha muundo wa Muungano wa serikali tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya Tanganyika na ya Zanzibar.''

Aidha

‘’Nikichaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar nakusudia kufanya mazungumzo na wenzetu wa Jamhuri ya Muungano kuhusu muundo wa Jeshi la Polisi na kuona linakuwa na sura ya pande zote mbili tofauti na sasa,’’ alisema.
Umelewa?????????
 
Mbona sasa Watanganyika wanataka kujitowa kwenye Muungano tena na wao ndiowafaidka wakubwa kwa kupata fursa ya kueneza ukiristo Zanzibar?
 
Back
Top Bottom