Uchaguzi 2020 Maalim Seif anapodai "Mamlaka Kamili" anamaanisha kuvunja Muungano?

Uchaguzi 2020 Maalim Seif anapodai "Mamlaka Kamili" anamaanisha kuvunja Muungano?

Mkuu wa Brigedi ya Nyuki miaka yote Muislam, marais wawili kati ya watano waliowahi kuitawala Tanzania ni wa islam. Wote hawa waliupiga vita uislam?!
WOTE HAO WANATUMIKIA MFUMO Kristo wa CCM
 
Hao watanzania wanaoishi Kenya wanaishi kama wakenya? Wanazo haki zote alizonazo mkenya?

Haki gani anayo mtanzania? Hakuna mKenya aliyebambikiziwa kesi lakini Watanzania ni kwa maelfu ,hiyo ndiyo haki yao ?
 
Tunapodai serikali za majimbo we unadhani tunamaanisha Nini? ,

Mfumo utakaotumika kwenye majimbo ndo utaunda serikali ya shirikisho,

Serikali tatu, ya shirikisho ya majimbo

Sijui Kama una akili ya kunielewa
Hii akili yako ni wewe peke yako unaielewa, na sitegemei uelewe nilichokujibu hapa.
 
Wewe ni mgonjwa wa akili?

Ni kweli atakuwa hana akili kwani wanaouliwa huna nasaba nao , hamna jamaa yako hapo wala hamna chako kinachopotea.

MZIGO WA MWENZAKO KWAKO NI GANDA LA USUFI
 
Nchi kuwa na mamlaka kamili kuvunja muungano.

Ireland ina mamlaka kamili, wales ina mamlaka kamili hii haijaiunja united kingdoms.

muwe mnajisomea kwanza historia ndipo mseme .

Muungano wa Tanganyika Na zanzibar unaifanya Tanganyika kuwa mkoloni wa zanzibar, haikubaliki
"Ireland" ipi mkuu unayoiandika hapa?
Inaonekana kujisomea kwako bado hakukusaidii zaidi ya kujisomea kwangu.

Najua unazungumzia 'Ireland' kaskazini, Scotland na Wales.
Sasa kaulize kama hizo ni nchi zenye "malaka kamili"! Wao watabaki kwenye Jumuia ya Ulaya wakati 'Brexit' itakapokamilika?

Usiwe unarukia mambo unayoyajua juu juu tu bila kujua undani wake ukoje.
 
Ni kweli atakuwa hana akili kwani wanaouliwa huna nasaba nao , hamna jamaa yako hapo wala hamna chako kinachopotea.

MZIGO WA MWENZAKO KWAKO NI GANDA LA USUFI
Nimemjibu hivyo kutokana na jibu alilonijibu. Wewe hapa unarukia bila kujua maana yake.

Hao "wanaouliwa" wataacha kuuliwa kwa majibu ya kipuuzi?
 
Kwamba Dar es salaam ijiite nchi? Nipe mfano ndugu
Hivi tayari Dar es Salaam limepangwa kuwa jimbo?

Hebu nipe mfano wa majimbo mengine yatakayokuwepo, halafu tuanzie hapo mjadakla wetu huu.
 
Hata hayo majimbo yakishapatikana, kuna yatakayotaka kujitangaza kuwa 'nchi'. This is not too far fetched to imagine.

mAJIMBO KWANI YA
Nimemjibu hivyo kutokana na jibu alilonijibu. Wewe hapa unarukia bila kujua maana yake.

Hao "wanaouliwa" wataacha kuuliwa kwa majibu ya kipuuzi?

Watu wataacha kuuliwa kwa kuondoka huu utawala dhalimu wa CCM , kwani umeuwa watu kwa maelfu hapa Zanzibar
 
mAJIMBO KWANI YA

Watu wataacha kuuliwa kwa kuondoka huu utawala dhalimu wa CCM , kwani umeuwa watu kwa maelfu hapa Zanzibar
Hili ni jibu tofauti na yale yaliyotolewa hapo juu.
Lakini unajua kuwa "watu kuuliwa" kunatokana na sababu mbalimbali na sio lazima kuwa kwa sababu ya muungano. Hata baada ya muungano kuvunjika, una maana hapawezi pakawepo na utawala wa aina ya "CCM" hii ya leo huko?
 
Seif anawahadaa wapambe wake kwani ili kuvunja muungano inabidi ipatikane theruthi mbili ya bara na mbili ya Zanzibar wakati Zanzibar wagombea wake 15 wameshaenguliwa ni wazi hatazipata.

Wapemba wengi wamewekeza bara ikiwamo na yeye mwenyewe ana nyumba bara hivi unafikiri ni wajinga wamruhusu avunje muungano maana kitakachofuata kila mtu arudi kwao
We nae mpumbavu, kujenga bara inaweza kuwa kikwazo? Watu wananyumba Hadi ulaya kijana hebu punguzeni ujinga mambo haya ni sensitive
 
Muungano ni muhimu sana hasa katika masuala ya Security kwa pande zote mbili tunaona changamoto za makundi ya siasa kali kwa majirani zetu.
Muingiliano wa watu wa pande mbili ni mkubwa sana kukikosekana amani ni raisi sana maadui wakapenya upande mwingine na kuleta madhara makubwa na kuoba rasilimali zetu
 
Hizo ndizo sababu ambazo Nyerere na CCM yake ndio wanazileta ili waendelee kuiba Huko Tanganyika. Hivi kabla ya huo muungano ni adui gani aliwahi kujiingiza Tanganyika kutokea Zanzibar??
 
Hili ni jibu tofauti na yale yaliyotolewa hapo juu.
Lakini unajua kuwa "watu kuuliwa" kunatokana na sababu mbalimbali na sio lazima kuwa kwa sababu ya muungano. Hata baada ya muungano kuvunjika, una maana hapawezi pakawepo na utawala wa aina ya "CCM" hii ya leo huko?

Kwani kabla ya muungano ulikuwepo?
 
Maalim anatapatapa sana hana mashiko.

mwanzo alianza na kudai serikali tatu.
baadae tena akaanza kudai serikali ya mkataba.
sasahivi tena anadai serikali yenye mamlaka kamili.
Alipokuwa makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar alitulia kimya kabisa akawa anakula maisha akasahau kudai serikali yenye mamlaka kamili.
 
We nae mpumbavu, kujenga bara inaweza kuwa kikwazo? Watu wananyumba Hadi ulaya kijana hebu punguzeni ujinga mambo haya ni sensitive
Pumbavu aliyekuzaa kama huwezi kujenga hoja bila kutukana pita kimya kimya muungano hamuutaki ila kuishi tanganyika mnataka kwanini msivunje halafu tuone kama mtakuwa na haki ya kushitaki popote halafu elewa sheria ya nchi hairuhusu mgeni kumiliki ardhi
 
Back
Top Bottom