Zanzibar 2020 Maalim Seif atangaza kugombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo

Zanzibar 2020 Maalim Seif atangaza kugombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo

Namhurumia Mh. Seif, maana anawazibia vijana nafasi, yeye wakati wake ulishapita aachane na mambo ya kugombea abaki mshauri tu.
Sasa hao vijana wakiachiwa wagombee wakishinda,CCM itakubali matokeo?
 
Wapi Ismail Jussa? Huyu mzee atagombea hadi awe wa kupandisha jukwaani.

Namkumbuka mzee wa "don't kubeba" King Cobra, Michael Sata naye aliukwaa urais uzeeni akiwa 74 baada ya kuusotea halafu hakuchua hata round aka-RIP. Uzee ukitajwa.
 
Kwanini Maalim Seif hataki kuamini kama yeye hafai kuwa Rais wa zenji.? Nadhani huu ni uchaguzi wake wa mwisho
 
Ya Malawi umeyasikia lakini?
Wa Malawi amewahi kugombea mara ngapi?unafananisha vitu viwili tofauti, huyu wa wa Malawi chama chake ndio kilikuwa CCM ya Malawi,maalimu anajidanganya anadhani ni yeye na si chama ndio kinaweza kuleta ushindi.Maalim ataiona tu ikulu na kamwe hatakuwa raisi wa Zanzibar.Atawapigia magoti akina Mwinyi /Mbarawa ambao mmoja wapo ndie atakuwa raisi wa Zenj
 
Wapinzani wa kiafrika bhana kila mwaka ni wanagombea wale wale tu , lipumba , maalim , Laila odinga, agaton n.k miaka yote wao tu.

Madikiteta sana.

Sasa mkuu wewe mwana CCM unaumia nini na wapinzani?
 
Back
Top Bottom