Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Ni jambo jema.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kesho Disemba 8 atamuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad...
Simtambui huyo kuku lakini Yai lake nalitambua 🙂 ! Au, hili yai silitambui ila kifaranga chake okay 🙃
Hongera sana Maalim Seif.....Imeisha hiyo....Jussa amesemaje kuhusu GNU?Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kesho Disemba 8 atamuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad...
Siasa za ZANZIBAR Watanganyika hamzifahamu tunakabiliana na magumu mengi na haya yote mnayafanya nyinyi Watanganyika kuingia ktk serikali kunafaida kubwa KWA ustawi wa Nchi yetuTamaa tu
Tunaingia serikalini huku Madai yetu yakiendeleaAtulie sasa ale mema ya nchi na kelele za uchaguzi ziishe.
Apigiwe mawe na Nani?Akipigwa mawe mtaani atatatetewa na haohao CCM aliokubali kuwa submissive kwao na aliowatumu huku akiongea kwa Tambo usitutishee usitufokeee.....!!!Pumbavu kabisa wanasiasa wa Tanzania.