Maalim Seif kuapishwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi

Maalim Seif kuapishwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi

Manyumbu hayana akili kabisaaa na hayakumbuki lolote yaliyosema kabla.
 
Apigiwe mawe na Nani?
Nyie mnaongea tu hivi mnajua gharama za kuendesha chama?

Wangepata wapi hizo ela?
Ww unataka wenzako wasuse Sasa hivi uko kwenye Gari unaenda kazini kwako

Ili upate pesa za kuhudumia familia yako na watu wengine

Na ACT nao ni binadamu,

Watu wapuuzi kama nyie ndio mlitakiwa mchinjwe na Boko Haram sio wale wakulima wasio na hatia!

Hivi mwanajeshi akifia vitani nae alalamike kwamba amefariki kwa kutupigania ilhali sisi tupo kwenye magari tunaenda kazini?

Si walichagua wenyewe kufanya siasa tena za upinzani? Kwanini mnatumia kivuli cha maisha kuwatetea hawa watu? Kwani hawakujua kupambana na serikali sio jambo rahisi?
Wanajua kuliko sisi, tusishawishiwe vinginevyo.

Nchi nyingine hakuna huu upuuzi, najisikia aibu kuwa Mtanzania!
 
safi sana Maalim na uongozi wa ACT pamoja na wanachama wa ACT mmefanya maamuzi mazuri sana kwa mustakbali wa wazanzibari.
Rais Dr. Hussein Mwinyi ni mtu hodari sana ba mwenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo kwa wazanzibari, hivyo hakuna budi kumuunga mkono Mhe. Rais Dr. Hussein....
Naaam Zanzibar mpya inaenda kuzaliwa tatizo kubwa Zanzibar ni Watanganyika wanatuvuruga Hussein Mwinyi kaja kivyengine kwa kuwaweka wahafidhina pembeni na kuja na damu mpya YENYE uchungu wa ZANZIBAR yao baada miaka mitano naiyona ZANZIBAR YENYE ustawi kamili na UCHUMI WA BLUE
 
Kamwe sitakaa niandamane au nipige kura tena nitakaa huku Manzese kwenye kibanda changu nikiendelea kuunga mkono juhudi
 
Watu wapuuzi kama nyie ndio mlitakiwa mchinjwe na Boko Haram sio wale wakulima wasio na hatia!

Hivi mwanajeshi akifia vitani nae alalamike kwamba amefariki kwa kutupigania ilhali sisi tupo kwenye magari tunaenda kazini?...
Wacha ujinga wacha upumbavu wacha wehu ZANZIBAR imepita ktk madhila mengi machungu makubwa na CHANZO cha yote haya ni nyinyi Watanganyika mshatuua sana mshatutesa sana WAZANZIBAR WAKIENDA KUUNGANA HAMTAKUA NA NAFASI TENA.

Husein Mwinyi anania njema anaenda kutibu majeraha anaenda kuanzisha maridhiano ya KWELI kwa MASLAHI mapana ya Taifa letu.

Watanganyika hebu tuwacheni kidogo.
 
Watu wapuuzi kama nyie ndio mlitakiwa mchinjwe na Boko Haram sio wale wakulima wasio na hatia!

Hivi mwanajeshi akifia vitani nae alalamike kwamba amefariki kwa kutupigania ilhali sisi tupo kwenye magari tunaenda kazini?...
Kama walichagua wenyewe kufanya siasa then heshimu maamuz yao na sio Kuja kuleta utopolo wako hapa wakati ukiambiwa toa Milion 5 kila mwez ili chama kiendelee kuwa Hai uwezi

Wao wamewaza mbali sana

Wana majengo ya kulipa rent, wanawafanyakazi wa kuwalipa mishahara

Nafasi kubwa imekuja ww unataka wasuse hivi hiyo ni akili au wadudu?
 
Nchi inaenda ‘kuponywa’ [emoji1][emoji1][emoji1]

Wale vijana wadogo waliouawa Pemba wakiamini wanapigania haki zao kama walivyoaminishwa na Maalim Seif Mungu awape pumziko jema.
Familia walizopoteza ndugu zao, Mungu awape moyo, hii ni hali ngumu kwao.

Vipi Jusa na yale majeraha hajalamba teuzi ya kumpoza? Au bado yupo hospitali?

En4hX3XXMAAHXWc.jpeg
 
Sasahivi haongei maana ana ulinzi full kila kona
Humjui Maalim ww wala huijui historia yake nikupashe kidogo

1- keshakuwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM tena ile ya Nyerere akasema

2- Keshakuwa Wazir Kiongozi wakati wa Idrisa akasema

3- Keshakuwa Makamo wa Kwanza wakati wa Sheni Akasema

Hivyo ni Wenda WAZIMU pekee yao ndio wanaodhanis Seif anaenda KUFUNGWA mdomo
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kesho Disemba 8 atamuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.

Hafla ya kumuapisha Maalim Seif itafanyika Ikulu Zanzibar.

Rais Mwinyi amemteua Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, uteuzi ulioanza Disemba 6 mwaka huu.

Uteuzi huo umezingatia matakwa ya kifungu cha 9(3) cha katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Kazi yake itakuwa kupeperusha bendera na kusoma magazeti tu. Hana mamlaka ya maana ndani ya SUK. Mwenye mamlaka ni rais na makamu wa pili. Isitoshe, sauti ya ACT kwenye baraza la wawakilishi ni ndogo na haitakuwa na "impact" yeyote.
 
Akipigwa mawe mtaani atatatetewa na haohao CCM aliokubali kuwa submissive kwao na aliowatumu huku akiongea kwa Tambo usitutishee usitufokeee.....!!!Pumbavu kabisa wanasiasa wa Tanzania.
Sina mashaka na misimamo ya mzee seif ,wasiwasi wangu wenda zitto na kundi lake ndo limemuingiza chaka mzee wa watu ,angejua hata mda huu angefanya mahamuzi magum
 
Humjui Maalim ww wala huijui historia yake nikupashe kidogo

1- keshakuwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM tena ile ya Nyerere akasema

2- Keshakuwa Wazir Kiongozi wakati wa Idrisa akasema

3- Keshakuwa Makamo wa Kwanza wakati wa Sheni Akasema

Hivyo ni Wenda WAZIMU pekee yao ndio wanaodhanis Seif anaenda KUFUNGWA mdomo
Sasahivi mzee hahangaiki na basi ananyoshewa nguo na KMKM
 
Wanafiki wakubwa hao mkuu
Narejea ttzo hamuijui ZANZIBAR wala hamuijui siasa za ZANZIBAR wazanzibar wameanza siasa wakati nyinyi BADO mpo maporini hebu tuacheni sisi siasa ndio maisha ndio utu wetu HATUDANGANYIKI tafauti na nyinyi wachumia MATUMBO
 
Mmeunga mkono juhudi hakuna namna wapuuzi wakubwa nyie
 
Kazi yake itakuwa kupeperusha bendera na kusoma magazeti tu. Hana mamlaka ya maana ndani ya SUK. Mwenye mamlaka ni rais na makamu wa pili. Isitoshe, sauti ya ACT kwenye baraza la wawakilishi ni ndogo na haitakuwa na "impact" yeyote.
Impact sisi tushaiona tukingia ktk GNU 2000 natija yake niule ushindi wa kishindo ambao ukafutwa na JECHA baada nyinyi Watanganyika kuleta Jeshi lenu IMPACT ya sisi kuingia ni kubwa sana ila ni Wazanzibar pekee ndio wenye kuijuwa
 
Tunaingia serikalini huku Madai yetu yakiendelea
UHURU WA KUJIELEZA
UCHAGUZI HURU
WALIOHUSIKA NA VURUGU KIPINDI CHA UCHAGUZ WASHTAKIWE KWA MUJIBU WA SHERIA
All empty wishes are swept into the drain!
 
Mmeunga mkono juhudi hakuna namna wapuuzi wakubwa nyie
Harakat wazanzibar hawakuanza leo wee kenge tumepitia machungu mengi nyinyi siasa mumeanza jana hiyo CCM kuikataa mumeanza jana sisi Mtoto akizaliwa tuu tayari anajielewa tunajua tufanyalo tumepitia magumu mengi hatukuwahi kumsaliti Maalim au yy kuwasaliti wazanzibar
 
Back
Top Bottom