Maalim Seif kuapishwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi

Maalim Seif kuapishwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi

Aibu kubwa sn kwa Maalim
Kawaida sana,wala akuna aibu,ni katiba ya Zanzibar inawataka ACT wafanye hivyo.

kumbuka pia kuna wanachama wa CCM walipigwa mapanga msikitini lakini pia kuna wanachama wa ACT wamepata madhara baada ya uchaguzi,hao wote ni wazanzibari.

kwenye siasa akunaga chuki za kudumu,ndo maana mpinzani anatoka upinzani anakwenda CCM na kunamwana CCM wanatoka CCM wanajiunga upinzani.
 
EopbIIKXYAIlmlK.jpg
 
ACT kuamua kuingia ktk GNU ni faida kubwa KWA harakati za kuikomboa ZANZIBAR tunampongeza Maalim na Cc ya ACT kwa hatua hii

MAPAMBANO YANAENDELEA
Watanzania ,watanganyika na wazanzibar wanakatishwa tamaa na baadhi ya wanasiasa na maamuzi yao, hivyo wanaamua kuachana na mambo ya kufatilia Siasa!

Niwakumbushe tu ndugu zangu, sukari tunayokorogea Hot beverage ni siasa, mafuta tunayoweka kwenye automobile ni siasa, beer na condom tunazotumia ni siasa!

Tusiache, tuendelee kujadili SIASA, siasa ni maisha.
 
Naaam Zanzibar mpya inaenda kuzaliwa tatizo kubwa Zanzibar ni Watanganyika wanatuvuruga Hussein Mwinyi kaja kivyengine kwa kuwaweka wahafidhina pembeni na kuja na damu mpya YENYE uchungu wa ZANZIBAR yao baada miaka mitano naiyona ZANZIBAR YENYE ustawi kamili na UCHUMI WA BLUE
sasa huu ndio muda wa kuungana, naamini Chini ya Dr. Hussein Maalim seifu atafanya kazi vizuri sana,
Mhe. Rais Dr. Hussein haendekezi siasa bali tamaa yake kubwa ni kuwaletea wazanzibari maendeleo ya kweli.......anaamini kuwa maendwleo hayana chama.....hivyo Zanzibar kwanza vyama vyetu badae, naamini tutafika.
 
Zenj ipi unaiongelea? Hii hii iliyojaa machoko ama ni ipi? Zenji watoto wa kiume wanaharibiwa mno. Kuna maeneo nilipita nikakuta wanaume wameweka taharabu huku wameshikana viuno wanacheza, laaana kubwa sana hiyo.
Hawana issue mkuu
 
Siasa za ZANZIBAR Watanganyika hamzifahamu tunakabiliana na magumu mengi na haya yote mnayafanya nyinyi Watanganyika kuingia ktk serikali kunafaida kubwa KWA ustawi wa Nchi yetu
Unataka kuniambia siasa za Zanzibar Ni Kama rocket science na Ni kubwa saaaana kiasi kwamba hakuna anayezifahamu zaidi ya wazanzibar wenyewe

Haya sawa
 
Nchi inaenda ‘kuponywa’ [emoji1][emoji1][emoji1]

Wale vijana wadogo waliouawa Pemba wakiamini wanapigania haki zao kama walivyoaminishwa na Maalim Seif Mungu awape pumziko jema. Familia walizopoteza ndugu zao, Mungu awape moyo, hii ni hali ngumu kwao.

Vipi Jusa na yale majeraha hajalamba teuzi ya kumpoza? Au bado yupo hospitali?
Jusa na maaalimu Ni kama mtu na chawa wake .

Popote alipo maalimu ,Jussa yupo

Pamoja na kipigo Cha mbwakoko utamsikia very sooon
 
Kwa watanzania wa aina hii bora ajichukulie huo u VP azekee pazuri , kama kujitoa kajitoa sana majitu yanajifungia ndani WTF
 
Back
Top Bottom