Maalim Seif kuapishwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi

Mkuu unaweza kunionyesha hilo andiko kwenye katiba ya Zanzibar kua endapo mgombea akijitanzia ushindi uchaguzi unafutwa?
Akikujibu nitag.
Maana uhuru wa kutoa maoni yako unatumiwa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…