Tetesi: Maalim Seif kukabidhiwa SMZ wakati wowote

Tetesi: Maalim Seif kukabidhiwa SMZ wakati wowote

This is Lumumba's small minded hog who is paid to divert the truth...ccm is now approaching to the point where there is no return!
Duh... yaani kuna watu ni majasiri sana mnakufa na tai zenu shingoni. Kama CCM ilireach that point basi ilikua ni 2015 but ikageuka. Sasa hivi upepo huo unavuma upande wa pili na sijui kama mtaweza kujinasua katika hili. CHADEMA INAKUFA. Mark my word
 
Nyie jipeni moyo ila hiyo siku wa zanzibar atakimbia bara nawa bara atakimbilia zanzibar shauri yenu..
Naomba kuishia hapa
 
Duh... yaani kuna watu ni majasiri sana mnakufa na tai zenu shingoni. Kama CCM ilireach that point basi ilikua ni 2015 but ikageuka. Sasa hivi upepo huo unavuma upande wa pili na sijui kama mtaweza kujinasua katika hili. CHADEMA INAKUFA. Mark my word
Alikufa Baba wa Taifa,Captain Komba na soon utafuatia wewe lkn bado Chadema itaendelea kuwepo!
 
Hapo ndo tutajua je?ile kauli ya mkuu wa nchi kusema wajaribu kuleta "fyokofyoko" waone ilikuwa ni kweli au alizungumza tuu kimhemuko
 
CCM haiwezi hata siku moja kuondoka madarakani kwa njia ya amani,mfumo na itikadi ya chama cha CCM haiendani na Amani wao kutawala ni kitu muhimu sana,na ndio maana wenyekiti wao majuzi amenadi kuwa CCM itatawala milele...

CCM inajua fika kama itaondoka madarakani Zanzibar basi ndio mwisho wa CCM Tanganyika,,..Ni ndoto nzuri alizokuwa nazo mtoa mada lakini hicho kitu kisahau, hakiwezekani kutokea...
 
Marekani na EU kwa sasa kwa ukanda huu wale vumbi tu hawana lao huku
 
Haya maneno siyo ya kupuuza maalim ameifanya hii mikakati sawa binsawiya na kwa uwazi zaidi na kweli mambo huko ndani yanatokota lakini mwisho wake nini kitatokea Mungu ndo anajua peke yake.

Hizi si habari njema sana kwa upande jiwe na wenzake lakini ndio hali halisi.
 
Back
Top Bottom