Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sasa ndio mjue tunavyosema huyu yehodaya ni hasara hatutaniiAisee, hii ndio staili yako ya kufurahi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndio mjue tunavyosema huyu yehodaya ni hasara hatutaniiAisee, hii ndio staili yako ya kufurahi?
Mkuu inaonyesha una njaa sana,sio kila mtu anaingia kwenye siasa kwasababu ya njaa wengine wanaingia kwenye siasa kwababu ya kugombania haki,uonevu,demokrasia ya kweli nk...nawasikitikia wawakilishi wa CUF Waliogomea uchaguzi wanavyoshindia mihogo
Mali ya ccmAnakabidhiwa na nani?
Kwani hiyo Smz ni mali ya nani ambaye akiamua tu anampa mtu mwingine?
You are day dreaming brother, utasubiri sana hicho unachokidhania kitokee
Ushauri wangu ungeongeza tu juhudi katika shughuli za kukuongezea kipato mkuu wangu
Huku ni kwetu zanzibar,tunashukuru kuwa unajua kuwa huku ni zanzibar na huko ni tanganyika.Sijaona kokote kwenye bandiko lako penye uelekeo wa matamanio yako.
Ila ninachokifahamu ni mijadala inayoendelea huko kwenu Zanzibar ya nani mrithi baada Ya 2020 na possible candidates ni kutoka CCM.
Mbona Hilo halihitaji Mjadala kuwa huko ni Zanzibar na huku ni Tanganyika ; ambazo zimeungana na kufanya nchi moja inaitwa Tanzania.Huku ni kwetu zanzibar,tunashukuru kuwa unajua kuwa huku ni zanzibar na huko ni tanganyika.
Waachie Wazanzibari wapumue ,usiwalazimishe....Mbona Hilo halihitaji Mjadala kuwa huko ni Zanzibar na huku ni Tanganyika ; ambazo zimeungana na kufanya nchi moja inaitwa Tanzania.
Iko wapi hiyo tanganyika iliyo ungana na zanzibar?Mbona Hilo halihitaji Mjadala kuwa huko ni Zanzibar na huku ni Tanganyika ; ambazo zimeungana na kufanya nchi moja inaitwa Tanzania.
And only time will tellHapa kuna mawili either mleta post ni mwongo au uelewa wangu Mimi ni Mdogo
- Katika jambo ambalo sasa liko wazi wazi ni suala la Tanzania kuridhia matakwa ya dunia kurejesha demokrasi ya mshindwa kukubali kushindwa na kukabidhi madaraka kwa alieshinda.
Rejea katika katiba yenu, mshindi wa uchaguzi wa Zanzibar anapatikana vipi?. Kwa kuwasaidia wasiojua ni kuwa mshindi wa uchaguzi wa Zabzibar, hutanguliwa na kutangazwa matokeo, kisha mshindi hutangazwa rasmi na Tume, ZEC na kukabidhiwa certificates za ushindi. Kwa uchaguzi wa Octoba 2015, matokeo ya wabunge na wawakilishi kweli yalitangazwa na watu kupewa certificates zao za ushindi, na matokeo za urais ni kweli yalionyesha Maalim Seif akiongoza, lakini hakuna matokeo yoyote rasmi ya ushindi yaliyotangazwa na ZEC na hakuna certificate yoyote ya ushindi ya urais iliyotolewa!. Hivyo hakuna aliyeshinda urais, matokeo hayakutangwa na uchaguzi wote ukafutwa kinyume cha sheria, na hakuna yoyote aliyelalamika.Zanzibar kulifanyika uchaguzi mwaka 2015 katika mwezi wa Oktoba hapa hapana asiejua kama Chama cha CUF kilishinda uchaguzi ule na Seif Sharif Hamad alimshinda Dr. Ali Mohd Shein kwa zaidi ya kura 20,000
Hili ni kweli, Maalim alishinda kwa kura na hili hata mimi nililithibisha humu, Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda. Pia ni kweli matokeo yalifutwa kinyume cha sheria na sii kweli yalifutwa kwa kutumia jeshi, bali yalifutwa kwa kutumia tamko la Jecha, kwa vile kufutwa kule ni kinyume cha sheria, taratibu na kanuni, sheria ya uchaguzi ya ZEC imeelekeza kila kitu ya nini kilipaswa kufanyika lakini hakuna yoyote aliyafanya lolote!. Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua hatua zozotekwakuwa Tanzania kupitia Kikwete kwa wakati huo hawakuridhika na matokeo hayo ya kushindwa na CUF kwa makusudi wakamlazimisha mtu mmoja anaeitwa Jecha ambae alikuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC kufuta matokeo yote ambayo kisheria za uchaguzi na katiba ya Zanzibar haikuliani na hilo wakafuta kwa nguvu wakitumia Jeshi
Kwa vile matokeo ya uchaguzi yalifutwa kinyume cha sheria, hivyo uchaguzi wa marudio ni uchaguzi batili, kwa vile kuna kitu kilipaswa kufanywa pale Jecha alipofuta matokeo lakini hakikufanywa, na uchaguzi wa marudio ulikuwa batil lakini haukubatilishwa, niliwaeleza watu humu, ili batili iwe ni batili ni lazima ibatilishwe!, na ili haramu iwe ni haramu, ni lazima iharimishwe, batili isipobatilishwa inageuka halali, na haramu isipoharimishwa, inageuka halal!. Hata kwenye uzao wa mwanaharamu, mwanaharamu ni zao la tendo la zinaa pasipo ndoa!, ukimzini mwanamke akashika ujauzito, mtoto huyo akizaliwa bila ndoa, anakuwa ni mwana haramu, lakini baada ya kupokea taarifa ya ujauzito, ukamua kumuoa mwanamke huyo, mtoto anayazaliwa anakuwa ni mwana halali, hata kama mimba ilitungwa kwenye uzinifu!. Hata kwenye kula nguruwe au kula nyamafu, Mwislamu safi akila nguruwe au nyamafu bila kujua kuwa ni nyamafu, anakuwa hajatenda dhambi yoyote na nyama aliyokula inakuwa ni halali!. Hili nililizungumza vizuri hapa Uhalali wa Rais Dr. Shein Wa Zanzibar ni Kutokana na Uchaguzi Halali, Huru na Wa Haki! . Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!Na baadae kuitisha uchaguzi mwengine mpya huku wakiwa wamesahau kuwa tume ilishawapa washindi wote certificate zao na kumfanya Seif Sharif Hamad kama mtoto mdogo na asiekuwa na uwelewa juu ya mambo haya katika dunia ya leo.
What is Zanzibar in UN, EU au kimataifa?. Who is NDI kwa nchi huru ya JMT?. Ukweli wa Zanzibar ni huu Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!Kwakuwa Seif Sharif Hamad alisoma kitu kinaitwa "Political science" na akafaulu vizuri sana hapo Chuo Kikuu na kuifanyia kazi muda mrefu sana fani hio akaweza kuiambia dunia na dunia ikamuelewa na kwa kweli Taasisi moja iko Marekani inaitwa NDI ikafanya juhudi kubwa sana ya kutengeneza mpango makhususi ya kuratibu haya mpaka UN, EU, The Commonwealth, Liberal Party International na USA wakakubali kuwa ni lazima demokrasi ifate mkondo wake Zanzibar
Ili mshindi aliteshinda akabidhiwe madaraka kwanza ni lazima atangazwe mshindi, mshindi aliyetangwa ni Dr. Shein!, tena ni mshindi halali!. Uhalali wa Rais Dr. Shein Wa Zanzibar ni Kutokana na Uchaguzi Halali, Huru na Wa Haki! .na mshindi alieshinda akabidhiwe madaraka sasa
Huu sio tuu ni uongo wa mchana kweupe bali ni ndoto ya mchana kama ya Alinacha!.Tanzania kwakuwa mara zote huwa wanacheza mchezo huu mara hii shughuli imewashinda na muda wowote Zanzibar kutatokea mabadiliko makubwa ya uongozi na utawala hili halitaki tena vikao sasa ni utekelezaji tu.
Uongo!.Leo Ikulu ya Dar es Salaam haishi vikao kujadili ni vipi watafanyakazi na Seif Sharif Hamad huku wakijua kwamba Tanganyika kuna upinzani wa hali ya juu hivi sasa na Zanzibar CUF wanaingia madarakani na kwa upande wapili huyu alioko Zanzibar ni mwana UKAWA ndio ukaona hizi juhudi zinazofanyika za kuitia CUF katika mgogoro mkubwa wa kiuongozi na CHADEMA kuwarubuni wabunge na madiwani pamoja na kuwafungulia mashtaka Mbowe na wwenzake ili ipatikane nafuu
CCM itatawala milele!, Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.kwa CCM iendelee kukaa madarakani lakini juhudi hizo zote haziwezi tena kufanikiwa kwasababu fedha haiwezi kuinasua siasa siasa moja kwa moja
Hakuna lolote litakalofanyika na Watanzania ni watu wa amani sana, hakuna umwagaji damu wowote!, uchaguzi mwingine ni 2020!, nothing more, nothing less!, and its very unfortunate kwa baadhi, 2020 will be too little too late!. Paskali.iliyobaki ni Serikali kukamilisha hili baadae tukaanza siasa za kistaarabu ili nchi yetu iepukane na umwagaji wa damu.
Naona umeandika kishabiki sana,uchaguzi uliisha na washindi walitangazwa na hiyo tume ya jecha kwa matokeo kubandikwa kila kituo cha kupigia kura,kilicho fanyanyika 2015 ni mapinduzi kwa tanganyika kuendelea kuikalia kimabavu zanzibar.
- Mkuu GHIBUU, hakuna ubaya wowote mtu ukiishi kwa matumaini ya kutimia kwa ndoto fulani ambazo mtu anaziota mchana kweupe!.
- Rejea katika katiba yenu, mshindi wa uchaguzi wa Zanzibar anapatikana vipi?. Kwa kuwasaidia wasiojua ni kuwa mshindi wa uchaguzi wa Zabzibar, hutanguliwa na kutangazwa matokeo, kisha mshindi hutangazwa rasmi na Tume, ZEC na kukabidhiwa certificates za ushindi. Kwa uchaguzi wa Octoba 2015, matokeo ya wabunge na wawakilishi kweli yalitangazwa na watu kupewa certificates zao za ushindi, na matokeo za urais ni kweli yalionyesha Maalim Seif akiongoza, lakini hakuna matokeo yoyote rasmi ya ushindi yaliyotangazwa na ZEC na hakuna certificate yoyote ya ushindi ya urais iliyotolewa!. Hivyo hakuna aliyeshinda urais, matokeo hayakutangwa na uchaguzi wote ukafutwa kinyume cha sheria, na hakuna yoyote aliyelalamika.
- Hili ni kweli, Maalim alishinda kwa kura na hili hata mimi nililithibisha humu, Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda. Pia ni kweli matokeo yalifutwa kinyume cha sheria na sii kweli yalifutwa kwa kutumia jeshi, bali yalifutwa kwa kutumia tamko la Jecha, kwa vile kufutwa kule ni kinyume cha sheria, taratibu na kanuni, sheria ya uchaguzi ya ZEC imeelekeza kila kitu ya nini kilipaswa kufanyika lakini hakuna yoyote aliyafanya lolote!. Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua hatua zozote
- Kwa vile matokeo ya uchaguzi yalifutwa kinyume cha sheria, hivyo uchaguzi wa marudio ni uchaguzi batili, kwa vile kuna kitu kilipaswa kufanywa pale Jecha alipofuta matokeo lakini hakikufanywa, na uchaguzi wa marudio ulikuwa batil lakini haukubatilishwa, niliwaeleza watu humu, ili batili iwe ni batili ni lazima ibatilishwe!, na ili haramu iwe ni haramu, ni lazima iharimishwe, batili isipobatilishwa inageuka halali, na haramu isipoharimishwa, inageuka halal!. Hata kwenye uzao wa mwanaharamu, mwanaharamu ni zao la tendo la zinaa pasipo ndoa!, ukimzini mwanamke akashika ujauzito, mtoto huyo akizaliwa bila ndoa, anakuwa ni mwana haramu, lakini baada ya kupokea taarifa ya ujauzito, ukamua kumuoa mwanamke huyo, mtoto anayazaliwa anakuwa ni mwana halali, hata kama mimba ilitungwa kwenye uzinifu!. Hata kwenye kula nguruwe au kula nyamafu, Mwislamu safi akila nguruwe au nyamafu bila kujua kuwa ni nyamafu, anakuwa hajatenda dhambi yoyote na nyama aliyokula inakuwa ni halali!. Hili nililizungumza vizuri hapa Uhalali wa Rais Dr. Shein Wa Zanzibar ni Kutokana na Uchaguzi Halali, Huru na Wa Haki! . Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!
- What is Zanzibar in UN, EU au kimataifa?. Who is NDI kwa nchi huru ya JMT?. Ukweli wa Zanzibar ni huu Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!
- Ili mshindi aliteshinda akabidhiwe madaraka kwanza ni lazima atangazwe mshindi, mshindi aliyetangwa ni Dr. Shein!, tena ni mshindi halali!. Uhalali wa Rais Dr. Shein Wa Zanzibar ni Kutokana na Uchaguzi Halali, Huru na Wa Haki! .
- Huu sio tuu ni uongo wa mchana kweupe bali ni ndoto ya mchana kama ya Alinacha!.
- Uongo!.
- CCM itatawala milele!, Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Hakuna lolote litakalofanyika na Watanzania ni watu wa amani sana, hakuna umwagaji damu wowote!, uchaguzi mwingine ni 2020!, nothing more, nothing less!, and its very unfortunate kwa baadhi, 2020 will be too little too late!. Paskali.