Duh... yaani kuna watu ni majasiri sana mnakufa na tai zenu shingoni. Kama CCM ilireach that point basi ilikua ni 2015 but ikageuka. Sasa hivi upepo huo unavuma upande wa pili na sijui kama mtaweza kujinasua katika hili. CHADEMA INAKUFA. Mark my wordThis is Lumumba's small minded hog who is paid to divert the truth...ccm is now approaching to the point where there is no return!
Hahahaha yani wewe na mtoa mada lazima kuna nati zimecheza.....hiiiiiHizi ni habari njema
Akili za kuwambiwa changanya na zako hakuna ukweli ktk hili nahisi anaotaHivi huoni aibu kupoteza muda wako mwingi kuandika kitu ambacho unajua dhahiri siyo cha kweli.
Alikufa Baba wa Taifa,Captain Komba na soon utafuatia wewe lkn bado Chadema itaendelea kuwepo!Duh... yaani kuna watu ni majasiri sana mnakufa na tai zenu shingoni. Kama CCM ilireach that point basi ilikua ni 2015 but ikageuka. Sasa hivi upepo huo unavuma upande wa pili na sijui kama mtaweza kujinasua katika hili. CHADEMA INAKUFA. Mark my word
Aisee, hii ndio staili yako ya kufurahi?aisee basi mtu aliyefurahi inabidi aende kunya kwa furaha aliyonayo kwa habari hii hewa
Sijui kwanini nimecheka...haiwezekani Nyalandu aache mshahara na marupurupu eti ahamie chadema itakuwa alinunuliwa
You are day dreaming brother, utasubiri sana hicho unachokidhania kitokee
Ushauri wangu ungeongeza tu juhudi katika shughuli za kukuongezea kipato mkuu wangu