Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Wana JF wenzangu sijui labda ni Mimi ndio sielewi Ila kwa mtu ambaye tunategemea aje kuwa Rais alafu anatamka maneno makali kiasi hiki si picha nzuri na inamvunjia heshima.
"Na mimi nawambieni CCM. Wallahilaadhim mara hii simzuii mtu yoyote kabisa na mimi na Viongozi wenzangu tukiamua kutoka tutakua mbele mutuue sisi kwanza, lakini Ukhanithi basi katika nchi hii".
Mhe Rais mtarajiwa unaweza kutumia neno Kama Ukhanithi tena kwenye mkutano?
Hapa anataka kumaanisha kuwa viongozi wa serikali Zanzibar ni ma......? Hii hapana kwa kweli.
Kumbe ndio mana vyombo habari Kama TBC vinakata matangazo.