Zanzibar 2020 Maalim Seif, punguza ukali wa maneno kutunza heshima yako

Zanzibar 2020 Maalim Seif, punguza ukali wa maneno kutunza heshima yako

Mwambie yule bwana aliyemdhalilisha makamu wake eti mweupe na alimchagua ili ajiondolee stress. Hajui yule ni mke wa mtu? Yote tisa, kumi ni kumdhalilisha mama mzazi mgonjwa kwa kumuozesha kwa mahari ya jogoo barabarani mchana kweupee.
Mama yake mzazi aliwashangaa sana waliomchagua huyu mtu kuwa Rais
 
Maalim Seif ana miaka 77 halafu akitazama moja haisomi mbili haisomi. Akiwa katika hali ya kuelekea kukata tamaa yanamtoka matusi ya uzeeni.
 
Kumuelekeza hadi lini?
Tutakuwa tunajenga taifa la namna gani?
Badala ya kuleta maendeleo tutatumia muda mwingi kuelekeza maana sioni mwisho wa kuelekeza kama kwenye document rahisi namna hiyo anashindwa.

Let's be serious guys, tuwape nafasi wenye uwezo sio kuoneana huruma za kishamba.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wewe unaamini kuwa hiyo fomu ndiyo iliyorudishwa.

CCM ni shetani. Watu wanapeleka fomu nyingine, inabandikwa nyingine. Kisha inatumika fomu bandia kumwengua mgombea. Narudia tena, CCM ni alama ya shetani. Ni chama kilichoondoka kwenye ustaarabu na kwenda kwenye primitivity ya hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukiingia chumba cha mtihani kwenye mitihani ya mwisho (final exams) mfano wa kidato cha sita , ukikosea hata kuandika namba yako ya mtihani na ukarejesha karatasi bila uhakiki, lawama utampa msimamizi, msahihishaji ama msoma matokeo au Wewe mwenyewe?

Huu mfano ni Irrelevant. Hapa lengo ni uchaguzi tena kwa kuuza sera, na sio mtihani wa kujaza fomu. Ukienda Bank, kusajili line ya simu, kutaka passport nk, kote huko ukikosea kujaza fomu unapewa ujaze tena na hukatiliwi mkopo au passport, kwani lengo sio kujaza fomu kwa usahihi bali ni kupata huduma stahiki. Huo ndio utaratibu wa dunia nzima. Sio mara moja au mbili tumeona makosa ya wazi ya wabunge kwenye uandishi, mbona hawapotezi ubunge wao kwa kukosea kuandika. Acha kutetea uovu.
 
Wana JF wenzangu sijui labda ni Mimi ndio sielewi Ila kwa mtu ambaye tunategemea aje kuwa Rais alafu anatamka maneno makali kiasi hiki si picha nzuri na inamvunjia heshima.

"Na mimi nawambieni CCM. Wallahilaadhim mara hii simzuii mtu yoyote kabisa na mimi na Viongozi wenzangu tukiamua kutoka tutakua mbele mutuue sisi kwanza, lakini Ukhanithi basi katika nchi hii".

View attachment 1553590

Mhe Rais mtarajiwa unaweza kutumia neno Kama Ukhanithi tena kwenye mkutano?

Hapa anataka kumaanisha kuwa viongozi wa serikali Zanzibar ni ma......? Hii hapana kwa kweli.
Kumbe ndio mana vyombo habari Kama TBC vinakata matangazo.
Ulimshauri aliyesema wanawake wapanue katikati? au umeona ya maalim Seif?
Unajua utamaduni na lugha za wazanzibari?
 
View attachment 1553596
Mtu Kama huyu kwanini asienguliwe mkuu?
Tarehe ya kuzaliwa ni 2020 mkuu huoni wana haki ya kuenguliwa hapo?
Wanajipa mamlaka yasiyo yao,wenye kujua kama achaguliwe ama akatwe ni wapiga kura.

Wewe uliomba kazi ya kuwa refarii na siyo kazi yako kuwapangia watu mtu anayewafaa,haukupewa kazi hiyo

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba anatakiwa atumie akili yako kuwaza cha kuzungumza? Umejiuliza kwanini kayazungumza awamu hii?
 
Back
Top Bottom