Mimi ninaipenda sana nchi yangu lakini Maalim hawezi kuandika kitu kama hiki.Wana JF wenzangu sijui labda ni Mimi ndio sielewi Ila kwa mtu ambaye tunategemea aje kuwa Rais alafu anatamka maneno makali kiasi hiki si picha nzuri na inamvunjia heshima.
"Na mimi nawambieni CCM. Wallahilaadhim mara hii simzuii mtu yoyote kabisa na mimi na Viongozi wenzangu tukiamua kutoka tutakua mbele mutuue sisi kwanza, lakini Ukhanithi basi katika nchi hii".
View attachment 1553590
Mhe Rais mtarajiwa unaweza kumtumia neno Kama Ukhanithi tena kwenye mkutano?
Hapa anataka kumaanisha kuwa viongozi wa serikali Zanzibar ni ma......? Hii hapana kwa kweli.
Kumbe ndio mana vyombo habari Kama TBC vinakata matangazo.
Walichomfanyia kule pemba siyo kizuri, tena angeongeza maneno makali zaidi muache ushamba wenu. Mnawaengua wagombea wao majimbo karibia yote hizo akili au matope.
Wapi amewaita makhanithi viongozi wa nchi?Unawezaje kuwaita viongozi wa nchi makhanithi mkuu huoni Kama anavuka mipaka hapo?
WalaUnawezaje kuwaita viongozi wa nchi makhanithi mkuu huoni Kama anavuka mipaka hapo?
Amelipa ada ya kuchukua fomu.Anastahiki kupata huduma ya kuelezwa jinsi ya kujaza kwa usahihiView attachment 1553596
Mtu Kama huyu kwanini asienguliwe mkuu?
Hakuna kitu hapo.View attachment 1553596
Mtu Kama huyu kwanini asienguliwe mkuu?
Hivi hili Jimbo la Rhoda lipo mkoa gani mkuu? tutetee kwenye haki Kaka.Hakuna kitu hapo.
CCM ndiyo yenye wagombea wengi wa darasa la saba sijasikia kaenguliwa mtu. Wasomi wa vyama vya upinzani na madigrii yao waliopambana na makoziweki na dizatesheni wakaweza wanashindwa kujaza fomu. Hainingii akilini.
Nani anatakiwa kuitwa hanithi ?Unawezaje kuwaita viongozi wa nchi makhanithi mkuu huoni Kama anavuka mipaka hapo?
Kwa jamii iliyostaarabika hapo ilikuwa ni suala la kumuelekeza tu.View attachment 1553596
Mtu Kama huyu kwanini asienguliwe mkuu?
Tarehe ya kuzaliwa ni 2020 mkuu huoni wana haki ya kuenguliwa hapo?
Nafikiri ni tofauti ya utamaduni tu, kwa Zanzibar ni neno la kawaida tu ni kama watu wengi wa Pwani mtoto anaweza muita mzazi wee ila kwa makabila ya bara ni kosa kubwaWana JF wenzangu sijui labda ni Mimi ndio sielewi Ila kwa mtu ambaye tunategemea aje kuwa Rais alafu anatamka maneno makali kiasi hiki si picha nzuri na inamvunjia heshima.
"Na mimi nawambieni CCM. Wallahilaadhim mara hii simzuii mtu yoyote kabisa na mimi na Viongozi wenzangu tukiamua kutoka tutakua mbele mutuue sisi kwanza, lakini Ukhanithi basi katika nchi hii".
View attachment 1553590
Mhe Rais mtarajiwa unaweza kumtumia neno Kama Ukhanithi tena kwenye mkutano?
Hapa anataka kumaanisha kuwa viongozi wa serikali Zanzibar ni ma......? Hii hapana kwa kweli.
Kumbe ndio mana vyombo habari Kama TBC vinakata matangazo.
Jana sikuelewa hii form...leo nimeelewa kwa nini mwenyekiti wao ni form four leaverHivi hili Jimbo la Rhoda lipo mkoa gani mkuu? tutetee kwenye haki Kaka.
View attachment 1553600
Kwa uhanidhi uliopagwa hawashidwi kubadili form na akipeleka originol kesi ya nyani unapeleka kwa ngedere.!View attachment 1553596
Mtu Kama huyu kwanini asienguliwe mkuu?
Tarehe ya kuzaliwa ni 2020 mkuu huoni wana haki ya kuenguliwa hapo?
Kumuelekeza hadi lini?Kwa jamii iliyostaarabika hapo ilikuwa ni suala la kumuelekeza tu.
Unawezaje kuwaita viongozi wa nchi makhanithi mkuu huoni Kama anavuka mipaka hapo?