Zanzibar 2020 Maalim Seif, punguza ukali wa maneno kutunza heshima yako

Fanyeni masihara mkaweke ma kota yenu mbele yake muone.
Hivi CCM uwaletee lugha za msikitini watakuelewa kweli!!!
 
Hakuna viongozi wa nchi, bali wahuni wenye madaraka. Ukiona watu wanachezea uchaguzi, kuwaheshimu ni kujivika ujinga usio na malipo. Ww kwako ni lazima uwaheshimu regardless hujuma zao, maana ndio unakopatia mkate wako wa kila siku.
Wanachezea uchaguzi kivipi hapo?
 
Kwa uhanidhi uliopagwa hawashidwi kubadili form na akipeleka originol kesi ya nyani unapeleka kwa ngedere.!
Tume inaendeshwa kwa Sheria na kanuni na si huruma huruma.
 
Vipi yule aliyemgawa Mama yake kwa Jogoo ?
 
Amelipa ada ya kuchukua fomu.Anastahiki kupata huduma ya kuelezwa jinsi ya kujaza kwa usahihi

Hivi ukiingia chumba cha mtihani kwenye mitihani ya mwisho (final exams) mfano wa kidato cha sita , ukikosea hata kuandika namba yako ya mtihani na ukarejesha karatasi bila uhakiki, lawama utampa msimamizi, msahihishaji ama msoma matokeo au Wewe mwenyewe?
 

Mkimbize mjusi kwa sana, akichoka lazima asimamie mkia na kukusubiri. Hapo ni halali yake. Ama zako au zake. Hakimbii tena.
 

Mwambie yule bwana aliyemdhalilisha makamu wake eti mweupe na alimchagua ili ajiondolee stress. Hajui yule ni mke wa mtu? Yote tisa, kumi ni kumdhalilisha mama mzazi mgonjwa kwa kumuozesha kwa mahari ya jogoo barabarani mchana kweupee.
 
Hakuna mwaka dhulma dhidi ya wazanzibari itadhihirika zaidi ya 2020!
😅
👊 ✌✌✌💥

"Wasimamizi wa uchaguzi Pemba, kwa mara ya kwanza, wote wametoka bara, na wote ni maafisa wa Usalama wa Taifa. Kazi yao ya kwanza ni kuwaondoa wagombea wote 18 wa ACT WAZALENDO" Maalim Seif. Kama huu si ukhanithi kwa lugha ya Maalim, basi tafuta jina lako.
 
View attachment 1553596
Mtu Kama huyu kwanini asienguliwe mkuu?
Tarehe ya kuzaliwa ni 2020 mkuu huoni wana haki ya kuenguliwa hapo?

Umesahau Mwenye nchi hakuweka Passport Size photo kabisa iliyotakiwa kisheria pia alikiuka sheria kwa kusainisha form kwa wasimamizi wa majimbo badala ya Mkurugenzi wa tume Taifa, walimfanya nini?

Hayo ni makosa madogo sana!
 
Hivi ukishindwa tendo la ndoa una tofauti gani nakushindwa kushindana? Vyote havijawa uhanithi?
 
Kama umeamini huwa wanakata matangazo kwaajili hii basi unamatatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…