Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

Acha kutudanganya wapemba sio Wanafiki Kama hawakupendi hawawezi tokea kwenye Mkutano wako. Na Kama walitokea kwenye kikao cha Mwinyi Meaning that Mwinyi anapendwa na Wazanzibari
Ukiwa umeajiriwa kwenye serikali ya CCM halafu ukilazimishwa kwenda kwenye mkutano na hujenda basi huna ajira. Tunajua mambo yenu, mkikaa na wanafunzi walomaliza form 6 bila aibu mnawaambia wachukue kadi za CCM kama wanataka ajira!
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2020-09-15 at 6.43.34 PM.jpeg
    53.9 KB · Views: 1
Ukiwa umeajiriwa kwenye serikali ya CCM halafu ukilazimishwa kwenda kwenye mkutano na hujenda basi huna ajira. Tunajua mambo yenu, mkikaa na wanafunzi walomaliza form 6 bila aibu mnawaambia wachukue kadi za CCM kama wanataka ajira!
Propaganda za kishamba , hazina mashiko.
 
Basi na nyie mmevushwa na chama chenu kuja kuongeza idadi, kulazimisha wafanyakazi wa umma kwenda mkutanoni unaita mahaba? Kweli Amani Karume hakukosea kuwaita vichwa vya samaki! 😀
Acha Hizo danganya toto wewe hakuna mtu aliyelazimishwa Kila mtu anakuja kwa utashi wake kabisa
 
Wewe bado hujaelewa tu? unafikiri watu Pemba wanafuata Chama au wanamfuata Maalim? Huko Cuf kabakia nani? wameachwa na chama chao vibaraka wa CCM
Hahaha waliobaki Pemba ni wengi sana CUF na usije fikiria hata kidogo kuwa CUF wameisha, Ni ushindi mnono kwa Dr Mwinyi
 
Ukiwa umeajiriwa kwenye serikali ya CCM halafu ukilazimishwa kwenda kwenye mkutano na hujenda basi huna ajira. Tunajua mambo yenu, mkikaa na wanafunzi walomaliza form 6 bila aibu mnawaambia wachukue kadi za CCM kama wanataka ajira!
Hatuna Mambo ya kichoko Kama hayo sisi ni Chama kubwa na tunapendwa na Kila Rika Babu mfano mzuri angalia Jana Pemba ambayo ni Ngome ya Maalim. Ngome imebomolewa
 
Mabeberu hao hao ndio wanafundisha polisi wetu..wanatupatia bure chanjo za polio..surua.tetenasi.arv..ndui.nk
Wewe unakariri mfano wa kasuku..
Bora ungenyamza usitiri UPUMBAVU
wako
 
Is this what you call English at your home??[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shame on you DUDE!
Huu ni ushamba Mkubwa sana wa mtu kuanza kuhoji masuala ya Lugha badala ya kuzungumzia hoja iliyopo mezani unaanza kuzungumzia Lugha ndo maana Kila siku tunawaambia Wapinzani mmekubwa na ushamba Mkubwa sana wa kujiona mnajua sana kiingereza na mkaaanza Hadi kuwadharau wasiojua kiingereza

Sasa tunapata mashaka Kama asilimia kubwa ya watu mnaowaomba kura hawajui kiongereza sasa mbona mnawadharau???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…