Maalim Seif: Siasa za mivutano zinaathiri ustawi wa Zanzibar

Maalim Seif: Siasa za mivutano zinaathiri ustawi wa Zanzibar

Sefu anawaumiza sana chadema kuliko hata wafuasi wake
 
Mpaka sasa zanzibar yanayotembea ni maneno mdomoni tu MIAKA 5 ikimaliza itaongea Rais Mwinyi hasa alikusudia nini alikuwa na maana gani lengo lake ni nini. Lakini kama maneno matamu namna hii kutoka kwa Maalim Seif na lada kwa Rais kuna swali mimi linaniumiza kichwa sana - Kwanini mwinyi aliingia madarakani kwa mtutu wa bunduki?
Unajua maana ya kuingia madarakani kwa mtutu wa bunduki wewe??
 
Wanasihasa wanajali matumbo yao tu! Ismail Jussa pamoja na kuvunjwavunjwa mbavu bado alikuwa analilia serikali ya umoja wa kitaifa ingawa naona kama wamemtosa!
 
Haahaa huyu mzee vumba.Ahamie ccm Basi ili kusiwe na mivutano
 
Maalimu hiyo meza unatikisa ina vinywaji vya maharusi!
 
Mamlaka ya hiyo hotuba imfikie Tundu Lisu na kibaraka wake Amsterdam na Godbless Lema
 
Back
Top Bottom