Mpaka sasa zanzibar yanayotembea ni maneno mdomoni tu MIAKA 5 ikimaliza itaongea Rais Mwinyi hasa alikusudia nini alikuwa na maana gani lengo lake ni nini. Lakini kama maneno matamu namna hii kutoka kwa Maalim Seif na lada kwa Rais kuna swali mimi linaniumiza kichwa sana - Kwanini mwinyi aliingia madarakani kwa mtutu wa bunduki?