Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Mtazusha sana. Mara Jecha kafuta uchaguzi wa marudio, mara moto wawaka zanzibar, sasa house arrest!!! Kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi. Uchaguzi utafanyika tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angefanya nini cha ajabuNyerere angekuwepo haya yasingetokea
Nyerere angekuwepo haya yasingetokea
Angekuwepo hai kina seif wangekua wamepotea siku nyingi sana. Enzi zile ndio ulikua udictator sio sasa.
Mtazusha sana. Mara Jecha kafuta uchaguzi wa marudio, mara moto wawaka zanzibar, sasa house arrest!!! Kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi. Uchaguzi utafanyika tu
Hakuna lolote linaloendelea Zanzibar zaidi ya tishiatoto, we unatupa bomu kwenye nyumba isiyoishi mtu kijijini. angalia picha zinazosambazwa toka jana ni vurugu za 2012, angalia barua iliyowekwa leo ati Jecha kafuta uchaguzi propaganda za kitoto uchaguzi zinafanywa na watu wanaodai hawatashiriki uchaguzi!!Huu uchaguzi na yanayoendelea zanzibar yanaichafua sana serikali ya Tanzania, sijui kwa nini wamwameamua kupoteza sifa ya nchi hii.
mkuu tunakushukuru kwa taarifa hii .Hii ni kwa mujibu wa Mzalendo.net Zanzibar.
taarifa zinasema wengine wanaotakiwa kuwekwa ndani ni
Mh Mazrui
Edy Riyami
Mh Hamad Masoud ambaye leo asubuhi alikamatwa akiwa nyumbani kwake Zanzibar.
Imeelezwa lengo kubwa ni kupisha uchaguzi wa marudio.
stay tuned.
===========
Chanzo: Mzalendo.net
Hayo matamshi yako yanaashiria wewe ni mchochezi wa ugaidi na unapaswa ushughulikiwe na vyombo vya usalaama.Watakuwa wamecheza kama pele hao wote ni magaidi, weka ndani haraka.
kama Nyerere angefanya hayo nyakati hizi bila Shaka angeishia waliko kina Laurent Gabbo, nyakati zimebadilika Zama za udikiteta zinatoweka kwa kasiWatu waliowekwa Ndani chini ya Nyerere kwa sababu za kisiasa ni wengi sana kuliko waliowekwa ndani na tawala zote zilizofuata.
Nyerere kuepuka kadhia kama hizi 1965 alipiga Marufuku vyama vyote vya kisiasa isipokuwa TANU na akafuta Uchifu kuepuka Changamoto za kisiasa walizokumbana nazo warithi wake.
Oscar Kambona alikimbizwa kwa kukataa Azimio la Arusha.
Christopher Kasanga Tumbo alifungwa kwa kupinga Vijiji vya Ujamaa n.k