Tetesi: Maalim Seif under house arrest

Tetesi: Maalim Seif under house arrest

Status
Not open for further replies.
Icho ndio kipimo chako ? moron
1458134112113.jpg
 
UWIKE USIWEKE KUTAKUCHA.

..........................................................
NINAWAOMBA HATA WABUNGE WA CUF/UKAWA KWA JUMLA WALIOPO KWENYE SERIKALI YA MUUNGANO WAJITOE WAACHIE CCM WAENDELEE TAWALA KAMA HILI HALIPATIWI UFUMBUZI WA KIDEMOCRASIA.

.........

think tanks wa UKAWA wajaribu kuichukua hii point onboard na kuifanyia kazi.

something - and something big enough to shake the foundations across our entire society - must be done by UKAWA surely.

and fast!
 
Mtazusha sana. Mara Jecha kafuta uchaguzi wa marudio, mara moto wawaka zanzibar, sasa house arrest!!! Kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi. Uchaguzi utafanyika tu

Uchaguzi wa kuchagua nini mpaka watu wakose amani namna hii!?.
Ni vizuri Dr aendelee tu kwani lazima Uchaguzi!!??
 
That's all you can do huh! post viwavi na fisi, nadhani insta kunakufaa sana, hapa mkuu you just make your self a laughing stock.
Wewe naona unafaa kuongea na huyu ndugu yako,na log off kwako maana naona najichosha na ngiri tu
1458134848098.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom