Maambukizi ya homa ya mfumo wa mapafu hewa, yanayosababisha mgando wa damu mwilini ni ugonjwa gani?

Maambukizi ya homa ya mfumo wa mapafu hewa, yanayosababisha mgando wa damu mwilini ni ugonjwa gani?

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
738
Reaction score
1,017
Hiyo process inasemekana husababisha damu kuganda na moyo kusimama hapo hapo.

Kwani homa hii inaambukizwajwe?

Hayo maambukizi ya mfumo hewa yani mtu anaambukizwa vipi?

Nawezaje kutambua ninazo dalili za gonjwa hilo? Nauliza pia ili nijue nawezaje kumpatia huduma yakwanza mtu mwenye gonjwa hili?

Je, linaambukizwajwe? Hewa, kushikana, etc?

Mwenye mwanga atusaidie waja.
 
Mbona amna alie vaa mask pale au iko contained
Ni Ule Ule Ulioanzia China, Italy Ukapukutisha Viongozi Wa Dini
Sasa Tangawizi, Limao, Ndimu, Pilipili, Vitunguu, Nyungu, Ukwaju
Anza Matumizi Haraka
 
Usikute dalili za huo ugonjwa hutokea ghafla pale mtu anapopishana kimtazamo na kile kitengo. Ngoja muda utaongea soon. Ile siri ya viongozi wa dini kwenda kumwombea msamaha Mr Funeral huenda imeficha mengi sana tusiyoyajua.
 
Hapa nna mafua mafua, na kichwa kuuma kwa mbali, koo linawasha basi nikisoma habari za corona humu navurugika tu....sijui ndio tayari🙄
Mm mwenyewe Hali wiki ya pili Sasa........
Tumia spirit hope siku Moja mbili utakaa sawa...
Sio maneno yangu nimeambiwa na wadau...
 


Wenyewe washajua ukweli ila hawataki kutuambia.

Wabongo wanavyopenda kupeana mikono ila angalia wanavyosalimiana hapo kwenye hiyo video.

Watuambie ukweli kabla hatujaanza kuzikana ovyo.

Mungu atustiri tusirudi tena kwenye adha ya CORONA na masharti yake.

Mungu alitusimamia tulikuwa na Jiwe aliekataa kuyumbishwa na lockdown.
Hawa waliopo sasa pesa za watu washakula, tutafungiwa kama kuku.
 
Mungu atustiri tusirudi tena kwenye adha ya CORONA na masharti yake.

Mungu alitusimamia tulikuwa na Jiwe aliekataa kuyumbishwa na lockdown.
Hawa waliopo sasa pesa za watu washakula, tutafungiwa kama kuku.
Tutafungiwa ndani miezi 6.Mungu atiepushie mbali.
 
Back
Top Bottom