Maambukizi ya homa ya mfumo wa mapafu hewa, yanayosababisha mgando wa damu mwilini ni ugonjwa gani?

Maambukizi ya homa ya mfumo wa mapafu hewa, yanayosababisha mgando wa damu mwilini ni ugonjwa gani?

Mungu atustiri tusirudi tena kwenye adha ya CORONA na masharti yake.

Mungu alitusimamia tulikuwa na Jiwe aliekataa kuyumbishwa na lockdown.
Hawa waliopo sasa pesa za watu washakula, tutafungiwa kama kuku.
Mama Mashungi kwa kupenda vijipesa vya misaada hata akiambiwa atuchome moto atatuchoma achilia mbali kutufungia.

Tutamkumbuka hasa Jiwe.
 
Hiyo process inasemekana husababisha damu kuganda na moyo kusimama hapo hapo..

Kwani homa hii inaambukizwajwe??

Hayo maambukizi ya mfumo hewa yani mtu anaambukizwa vipi yani??

Nawezaje kutambua ninazo dalili za gonjwa hilo? Nauliza pia ili nijue nawezaje kumpatia
Huduma yakwanza mtu mwenye gonjwa hili??

Je linaambukizwajwe ?? Hewa, kushikana, etc..?

Mwenye mwanga atusaidie waja.
Utaona kuanzia kesho tv, radio na magazeti wataanza kuwahoji madaktari na kuiongelea
 
Back
Top Bottom