Maambukizi ya homa ya mfumo wa mapafu hewa, yanayosababisha mgando wa damu mwilini ni ugonjwa gani?

Mungu atustiri tusirudi tena kwenye adha ya CORONA na masharti yake.

Mungu alitusimamia tulikuwa na Jiwe aliekataa kuyumbishwa na lockdown.
Hawa waliopo sasa pesa za watu washakula, tutafungiwa kama kuku.
Mama Mashungi kwa kupenda vijipesa vya misaada hata akiambiwa atuchome moto atatuchoma achilia mbali kutufungia.

Tutamkumbuka hasa Jiwe.
 
Utaona kuanzia kesho tv, radio na magazeti wataanza kuwahoji madaktari na kuiongelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…