Maambukizi ya UKIMWI kwa wasichana ni mara tatu zaidi kwa wavulana

Maambukizi ya UKIMWI kwa wasichana ni mara tatu zaidi kwa wavulana

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema asilimia 60 ya kundi balehe la vijana wa kati ya miaka 15-24 walipima na kujua hali zao kwa mwaka 2020.

Hata hivyo, katika matokeo hayo kundi la wasichana balehe na wanawake vijana lilikuwa mara mbili au tatu ya vijana wenzao wa kiume kwenye maambukizi.

Hayo yamesemwa leo Februari 3, 2020 na Ofisa Ufuatiliaji na Tathmini Tacaids, Laiser Nyangusi wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu hali ya maambukizi kwa kundi la vijana nchini.

“Takwimu hizo zinaonyesha bado kundi la asilimia 40 halijajua hali zao, lakini imeonyesha maambukizi hayo yanaenea kwa kasi zaidi kwa kundi la wasichana balehe umri wa miaka 15-24 kwa asilimia 2.1 ikiwa ni mara tatu zaidi ya vijana wa kiume kwa asilimia 0.6,” amesema Nyangusi.

Amesema kati ya wenye VVU wapya 77,000 waliokutwa na maambukizi mapya mwaka 2019, asilimia 28 walikuwa miaka 15 mpaka 24 na kati ya hao asilimia 67 walikuwa wasichana balehe na wanawake vijana huku wavulana wakiwa asilimia 23.

Amesema wasichana wengi wanaathirika kutokana na ndoa za kulazimishwa ambazo zinawaweka hatarini kupata mimba zisizotarajiwa, utoaji mimba na maambukizi ya magonjwa na zinaa na VVU.

“Wasichana wanaathirika zaidi kutokana na mila na desturi, mimba za utotoni, ngono za mapema, maambukizi ya magonjwa ya ngono, kutokuwa na maamuzi, unyanyasaji wa kijinsia na mengineyo,” amesema Nyangusi.

Mwananchi
 
Vijana wa kiume upande wa Tanzania Ni ngumu sna kupata ukimwi coz wengi wao kwa Iyo age wanakua na vibamia mno.

Kama watu wazima kwa tz avarage erected penis urefu Ni nchi 5.5

Itakuaje sasa kwa kivulana Cha miaka 16[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Alisema binadamu mmoja anayejua uume za watanzania wote
 
Et sababu ni kulazimisha ndoa acheni urongo nyie
Vitoto vya siku hizi kipo form one tu kinagombea mabwana na madanga
Jamii imeoza Hii watoto wa kike wadogo hawaambiliki hawasikii ndio kwanza wanaona fashion kupigana miti,hawana huruma na future zao
Tamaa na umaskini ndio vinawashawishi kunasa kwenye huo mtego!
 
Watoto wanapenda kuhudumiwa zaidi ya huduma za wazazi wao

Binti wa miaka 16 ama 20 nae anataka apate bwana ili ahudumiwe.

Na condom haitaki wanakwambia wana allergy nayo ama inawaumiza
 
Warudi tena kufanya research hiyo conclusion yao haiko sawa....eti ndoa za kulazimishwa....

Mabinti wengi wanaanza kale kamchezo kakudanga wakiwa wadogo...kifupi wengi wanapenda mahusiano na malegendary kwa sababu ya kipato na kutolewa out maana vijana wenzao wa huo umri kipato hawana matokeo yake wanashare michepuko na mama zao, dada zao na bibi zao....

Mabinti waambiwe tu waache tamaa, walezi na wazazi wajitahidi kuwa na usimamizi kwa watoto wao wakike, vibinti vidogo vinajiuza mitaani huku kila mahala kuanzia Namanyere Nkasi mpaka temeke dar es salaam... nyuchi zinauzwa waziwazi..
 
fikiria jibu hili la msichana mmoja pale Kisewe yuko around 17 yrs ivi, "yeye: kulala sh. 35,000 mimi: kwa bao ngapi ? yeye: Nguvu zako tu "
vitoto vidogo vina mambo makubwa balaa nakumbuka mwaka juzi nilikua kule chanika nilienda sehemu Moja hivi inaitwa dampo Kuna bar na swimming pool hapo hapo wakati wa kigogo sokoni na chanika watakua wanapapata vema basi nikakutana na vibinti vingi Sana pale vimeshine kikahaba kahaba vinavizia mabwana nikaja jua vinaishi Gongo la mboto gomz

Hiyo haikua ajabu kuona vile unajua ajabu kuu ni pale nilipojua kumbe ni vitoto vya form one na form two kakubwa kalikua ka form three
Nilistaajabu Sana
Kwa style hii Hawa watatoboa kweli?

😲😲😲😲😲
 
The Art of war.

Katika vita,eneo/Ardhi ambamo vita itapiganwa litaathirika zaidi.

Ngono inafanyika ndani ya mwili wa mwanamke.

Over!
 
kuna vitu tukifichaficha ndio jamii inazidi kupotea halafu tunashikana uchawi.... VITOTO VIDOGO VYA KIKE VIMEKUWA VIMALAMALAYA KUPITA KIASI, UKAHABA NA KUDANGA KWA DADA/MAMA/BIBI ZAO UMEKUWA NDIO KIMBILIO LA KUTATUA NJAA ZAO... matokeo yake vingi vinaumizwa maana hata akili kichwani hamna, vinavuta mibange, kunywa mipombe na kula unga ...

Samahani kwa kutumia lugha kali kidogo, kwa uzoefu wangu pia wa kuzurula huku na kule ndani na nje ya nchi, HATA UELEWA WA VIJANA KUANZIA WA KIUME NA WAKIKE WAKITANZANIA NI MDOGO SAANA KUFANANISHA NA SPEED YA DUNIA, MPAKA NAOGOPA...

Role model wahawa mabinti ndio hawa madada wengi wa bongo movie, video viccine sijui viksini wakati ni vimala tu vinauza nyuchi.... na viko mjini kwa sababu hiyo na vingi kwasababu ya akili ndogo vinatumikishwa kwenye ushenzi mwingi sana.....Vidada vingi vimejaa China, Hongkong, Turkey, India, SA, Dubai nk vinapelekwa na kuuza nyuchi huko vikija mjini vinashine matokeo yake wenzao walioko huku wanaona haya ndio maisha nao wanaunga tela kwa kuanzia viwanja vya nyumbani pale Element, tips, 777, next door nk...vikizoe vinasonga mbele...

Walio kwenye mamlaka msipotia akili juu ya hawa watoto basi tambueni miaka mingi ijayo tunarudi utumwani na Taifa la watu wajinga kupata kutokea duniani... Hizi shule za Kata na nyinginezo zinazalisha mabogus wanaowaza cheap life, free good life nk....
 
Tunapenda kuwalaumu sana jinsia ya Ke kuna ndio inayotuambukiza kumbe sisi ndio wasambazaji na wahongaji wakuu.
 
Back
Top Bottom