Maambukizi ya UKIMWI kwa wasichana ni mara tatu zaidi kwa wavulana

Maambukizi ya UKIMWI kwa wasichana ni mara tatu zaidi kwa wavulana

Vijana wa kiume upande wa Tanzania Ni ngumu sna kupata ukimwi coz wengi wao kwa Iyo age wanakua na vibamia mno.

Kama watu wazima kwa tz avarage erected penis urefu Ni nchi 5.5

Itakuaje sasa kwa kivulana Cha miaka 16[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala kibamia sio shida,average ya mechi kwa ilo rika ni hivi...bao la kwanza sekunde 43-57...bao la pili dakika 1-3,bao la tatu dakika 5-9...mchubuko hapo ni never....
 
Mbali ya dunia inavyokwenda sasa bado elimu juu ya huu ugonjwa inahitajika zaidi na zaidi kwani kwa miaka ya karibuni Ukimwi hauzungumziwi kabisa watu wako busy na Corona.
Pia na Utopolo wanaaminishwa kuwa msimu wanauchukua ubingwa[emoji16]
 
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema asilimia 60 ya kundi balehe la vijana wa kati ya miaka 15-24 walipima na kujua hali zao kwa mwaka 2020.

Hata hivyo, katika matokeo hayo kundi la wasichana balehe na wanawake vijana lilikuwa mara mbili au tatu ya vijana wenzao wa kiume kwenye maambukizi.

Hayo yamesemwa leo Februari 3, 2020 na Ofisa Ufuatiliaji na Tathmini Tacaids, Laiser Nyangusi wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu hali ya maambukizi kwa kundi la vijana nchini.

“Takwimu hizo zinaonyesha bado kundi la asilimia 40 halijajua hali zao, lakini imeonyesha maambukizi hayo yanaenea kwa kasi zaidi kwa kundi la wasichana balehe umri wa miaka 15-24 kwa asilimia 2.1 ikiwa ni mara tatu zaidi ya vijana wa kiume kwa asilimia 0.6,” amesema Nyangusi.

Amesema kati ya wenye VVU wapya 77,000 waliokutwa na maambukizi mapya mwaka 2019, asilimia 28 walikuwa miaka 15 mpaka 24 na kati ya hao asilimia 67 walikuwa wasichana balehe na wanawake vijana huku wavulana wakiwa asilimia 23.

Amesema wasichana wengi wanaathirika kutokana na ndoa za kulazimishwa ambazo zinawaweka hatarini kupata mimba zisizotarajiwa, utoaji mimba na maambukizi ya magonjwa na zinaa na VVU.

“Wasichana wanaathirika zaidi kutokana na mila na desturi, mimba za utotoni, ngono za mapema, maambukizi ya magonjwa ya ngono, kutokuwa na maamuzi, unyanyasaji wa kijinsia na mengineyo,” amesema Nyangusi.

Mwananchi
Kutokuwa na maamuzi na ngono za mapema,hapo ndio naona ni tatizo kubwa sana kwao...
 
Back
Top Bottom