Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Ndio ma dokta wetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaahaaa ..eti doc akiwa bar[emoji1787][emoji1787]Hujakutana na daktari akiwa baa! [emoji1787][emoji1787]. Wenye visonosono, kaswende, kifua kikuu, ukosefu wa nguvu za kiume, ugumba wote out! Toka lini ugumba na ukosefu wa nguvu za kiume kwa wana ndoa ukahatarisha usalama wa wengine?
[emoji1787]
Shida yako umefunga PMUkimwi upo na bado hauponi lakini mwaka 2008 ilikuja break through kubwa kwa wagonjwa. Dawa za ARV zlionyesha uwezo wa kumaliza vidudu vyote vizungukavyo kwenye mfumo wa damu. Wanaita kufubaza vidudu kwani vilivyojificha havina uwezo wa kushambulia mwili.
Mgonjwa anaetumia dawa na kila siku ilhali amefubaza vidudu hawezi kueneza ugonjwa kwa wengine. Hili limeshafanyiwa tafiti. Kama mume mke yuko HIV+ mnaendelea kubanjuana kama kawaida.
WHO wanasisitiza watu wote wapimwe na walioathirika waanze tiba mapema. Wameona kuwa Hii ni njia ya kuzuia maambukizi mapya na hatimae kuutokomeza UKIMWI.
Muhimu mfichiane siri na mhudhurie clinic pamoja. Haina haja ya kuwaeleza wazazi, daktari wenu ndiye msiri wenu.
NB: Mmoja wenu akiwa + muwe waangalifu na extra marital affairs, michepuko na ngono zembe. Yule mgonjwa tayari immnune system yake ina mgogoro, kumletea tena makaswende na ma gonorrhoea utampa shida.
Kwani je, mbona kujitetea?Yes but I’m past the dating age.