Maambukizi ya UKIMWI na tiba zake mpaka sasa

Maambukizi ya UKIMWI na tiba zake mpaka sasa

Hujakutana na daktari akiwa baa! [emoji1787][emoji1787]. Wenye visonosono, kaswende, kifua kikuu, ukosefu wa nguvu za kiume, ugumba wote out! Toka lini ugumba na ukosefu wa nguvu za kiume kwa wana ndoa ukahatarisha usalama wa wengine?
[emoji1787]
Haaahaaa ..eti doc akiwa bar[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwi upo na bado hauponi lakini mwaka 2008 ilikuja break through kubwa kwa wagonjwa. Dawa za ARV zlionyesha uwezo wa kumaliza vidudu vyote vizungukavyo kwenye mfumo wa damu. Wanaita kufubaza vidudu kwani vilivyojificha havina uwezo wa kushambulia mwili.

Mgonjwa anaetumia dawa na kila siku ilhali amefubaza vidudu hawezi kueneza ugonjwa kwa wengine. Hili limeshafanyiwa tafiti. Kama mume mke yuko HIV+ mnaendelea kubanjuana kama kawaida.

WHO wanasisitiza watu wote wapimwe na walioathirika waanze tiba mapema. Wameona kuwa Hii ni njia ya kuzuia maambukizi mapya na hatimae kuutokomeza UKIMWI.

Muhimu mfichiane siri na mhudhurie clinic pamoja. Haina haja ya kuwaeleza wazazi, daktari wenu ndiye msiri wenu.

NB: Mmoja wenu akiwa + muwe waangalifu na extra marital affairs, michepuko na ngono zembe. Yule mgonjwa tayari immnune system yake ina mgogoro, kumletea tena makaswende na ma gonorrhoea utampa shida.
Shida yako umefunga PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado somo linahitajika zaidi sijaelewa mwathirika kutoweza kumuambukiza mwingine kwakua anatumia hizi dawa,

Ni mda gani unaweza shiriki na huyu mtu atumiae dawa bila kukuambukiza

Cc Kingsmann
 
Back
Top Bottom