Maambukizi ya ukimwi

Ze observer

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
232
Reaction score
492
Ukimwi kwa njia ya ngono bila condoms unaambukizwa kwa shahawa/ute wa mwanamke au damu kupitia michubuko?
 
Sasa inakuaje watu wanasema kupata ukimwi ni kazi mpaka michubuko?
 
Ah kupata ukimwi ni ajali kazini na ni nadra sana bahati mbaya thana
 
Body fluids including sperms, blood, vaginal discharge ect
Dr huyoooo ebu anzisha full thread humu kuhusu HIV from first stage to last stage near death utuelimishe watu watumie uzi wako kama references
 
Sasa inakuaje watu wanasema kupata ukimwi ni kazi mpaka michubuko?
Wewe usiwassikilize watu tumia hiko kichwa kuchanganua mambo,UKIMWI upo ni hatari na unauwa acha kukariri juwa hauna formular kwamba lazima uambukize kwa hivi au vile wenyewe utaingia ktk mwili wako kupitia popote ambako kutauruhusu uingie.

Epuka zile njia zinazoweza kukuhatarisha na haya maradhi,dunia bado inakuhitaji taifa lako pia bado linakuhitaji kuwa makini/vijana tuwe makini!
 
Tafuta truvada,baada ya kupima ukawa huna,pia zinahitaji gharama
 
Nyuzi zahiv wachangiaji hazinaga.

Iki nikithibitisha kua watu wanaogopana hahahaha
 
Uzi umepoaaa!!
Mnaonaga raha kumbe waoga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…