Ze observer
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 232
- 492
Ukimwi kwa njia ya ngono bila condoms unaambukizwa kwa shahawa/ute wa mwanamke au damu kupitia michubuko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazipatikani kirahisisubiri miezi 3 ukapime baba kama umechomoka ila.acha uoga ukimwi.kuupata kazi ipo paka gem.za kukamia sana
Body fluids including sperms, blood, vaginal discharge ectUkimwi kwa njia ya ngono bila condoms unaambukizwa kwa shahawa/ute wa mwanamke au damu kupitia michubuko?
Dr huyoooo ebu anzisha full thread humu kuhusu HIV from first stage to last stage near death utuelimishe watu watumie uzi wako kama referencesBody fluids including sperms, blood, vaginal discharge ect
Wewe usiwassikilize watu tumia hiko kichwa kuchanganua mambo,UKIMWI upo ni hatari na unauwa acha kukariri juwa hauna formular kwamba lazima uambukize kwa hivi au vile wenyewe utaingia ktk mwili wako kupitia popote ambako kutauruhusu uingie.Sasa inakuaje watu wanasema kupata ukimwi ni kazi mpaka michubuko?
Iyo kitu bwana ni kama kifo tu au mwizi. Kama zali ni lako ukigusa tu unaoUkimwi kwa njia ya ngono bila condoms unaambukizwa kwa shahawa/ute wa mwanamke au damu kupitia michubuko?
Mwezi kivip mkuu?Siku hzi hamna haja ya kusubiri miezi mitatu, ni mwezi mmoja tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...acha uoga weweKupima so mchezo jaman
Sio rahs kama tunavoongea hapa
Ndo kitu gani hiko?Tafuta truvada,baada ya kupima ukawa huna,pia zinahitaji gharama