Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye

Single mother hawaaminiki hii inshu tukisikia na upande wa pili hakika tutashangazwa. Wanawake tena masingle mother ni hodari katika ku-play victims
 
Duh
Ila Kuna watu wavumilivu[emoji85]
Mie siwezi
Ndoa ya kimila ,hujazaa,una kibiashara chako unasubiri nn kwake?
 
Pole sana rafiki
 
Nimepitia profile yako, kwa haraka haraka nimeona thread zako kuhusu huyu jamaa ziko zaidi ya 11.

Na ni 2017 huko.

Mimi binafsi sina mawazo ya kupoteza kwa kurudia ushauri ambao najua hutatekeleza na baada ya muda utarudi tena na thread kama hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…