Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana nadhani unahitaji zaidi faraja kuliko dhihaka, huenda nasi tungekua nafasi yako tungeshindwa kujua la kufanya pole.
Kuna mawili,unaweza kumuacha na usiolewe tena au unaweza kuvumilia na maisha unayoyategemea katika ndoto zako yasitimie;bado unanafasi kubwa ya kumbadilisha mumeo kwa sababu mwanaume ni kichwa cha familia na mke ni shingo ya familia inaweza kugeuza kichwa kiangalie kushoto,kulia n.k
TANESCO Ni taasisi ya kiserikali na Ni lazma awe mwanachama wa NHIF.Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na huyu Mwanaume, nahofia kitu kimoja
1) Ukweni kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaani ni waganga sana. Je watanibakiza?
2) Nilitolewa mahari mil 1.6 bi mkubwa ameshakula na taratibu za kisukuma ukiolewa kama haujazaa mahari inarudi na faini juu, nafanyaje?
3) Jamaa nampenda japo simuhitaji nitaweza kusahau na kurudi katika hali ya kawaida?
Sababu za kumuacha
1) Sielewi nina roho mbaya au vipi lkn nahisi hii hali imenichosha.Mume wangu hajali sana kuhusu mimi wala maitaji yangu wala mahitaji ya familia lkn 90 anajali ndugu zake.
Before sijaishi nae nilikuwa nina kipharmacy changu ambacho kilikuwa kinanitosha tu kwa mahitaji yangu baada ya kunioa kimila ikabidi nimfuate mkoa mwingine na duka kuajiri mtu ambapo huwa naenda kukagua biashara baada ya mwez 1 japo mapato yamepungua Sana.
Kinachoniuma nimemuomba sana mume wangu anifungulie biashara huku nilipomfuata kutokana na fani yangu amekuwa mgumu sana ananiambia kaa tu kwanza so nimekuwa mtu wa kukaa tu ndani sina kipato chochote zaidi ya hicho kidogo nachopata nacho nakuweka kwenye ac ya familia.
Nina mtoto ambae nilizaa before yupo kwa mama angu nashindwa hata kutoa matumizi nyumbani kwetu kipato Sina,
Kinachoniuma mtaji sipewi lkn jamaa kila kitu anahudumia kwao tu.
3) Tangu mwaka Jana mwez wa 11 afya yangu sio nzuri naumwa mambo ya kizazi nimetibiwa hospitali za wilaya bila mafanikio ameshindwa hata kunipeleka kwa madaktari bingwa wa wanawake najua mwenzangu hana hela leo nimeshika simu yake nimeumia sana kuona salary ya mwezi huu imeingia mil 2 .3
Anajenga kwao hata kunipeleka hospital za maana hakuna kweli jaman?
Tangu kanioa hajaninunulia hata chochote juzi nipo nyumbani nilikuja kimatibabu mama akanipa hela nikanunua nguo jamaa nimemwambia kafurahi tu.
Kilichoniuma zaidi Leo, mwaka Jana tulilima mpunga kwa ajiri ya kuongezea tununue kiwanja tukapata magunia Kama 20 tu lao yameuzwa hela zinaweka milango kwao hata kupewa elf 50 ya nguo hakuna Wala kupewa tu taarifa hamna nimeumia Sana.
Yaani 15% tu ya kipato chake anatoa katika familia lkn 75% ya kipato chake anapeleka kwao.
Jamaa ni mhanisi TANESCO lkn ndani tunakalia viti na meza vya baa ukimwambia tununue kitu kwa ajiri ya ndani hataki.
Binafsi naona napoteza muda tu acha nikapambane kivyangu.
Naombeni ushauri namuachaje?
nahis ww una ubora...!tena mkubwa..mie hapeleki kwao kiviiile maana kwao mambo safi tu..ila hela huioni..na vile mie sipendag makelele jamaa ababweteka balaa..yaan full kupenda miteremko...sasa hv anatoa jasho za meno..!kila anayemwona anasema ongeen na manengelo jaman siwez ishi bila yy..!mie ndo nishatokaSiyo wote mkuu!
Wangu niliongea ikafika mahali nikaacha kabisa
Hata achukue pesa zote apeleke kwao simuulizi.
Natafuta nacover pale ninapoweza akiona aibu anajisemesha anamalizia kilichobaki.
Kuna wanaume wanaoa lakini hawakuwa tayari kuwa mume!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha hivi unafikili rahisi je yupo tayari kuachana nae? Na anayeamua kuachana na mumewe au mke hawezi kuleta thread anafanya maamuzi yake kimya kimya unafanya mchezo na kuachana.
Huyu mwanaume ni mbinafsi hii tabia hajaiona toka wapo wachumba mana tabia ya mtu haijifichi bwana

Mh sidhani mpenziKuna watu wapo vizuri sana katika kaficha vile vijitabia vibovu walivyo navyo, labda huyo kijana alificha hicho kijitabia chake cha ubinafsi pindi wako wachumba na alivyomuweka ndani akaanza kumuonyesha yeye yupoje.[emoji2368][emoji2368][emoji2368][emoji2368]
Hawezi muacha huyu eti unakuja kuanzisha thread kuomba ushauri woiiiii ukiamua unaamua tu na moyo wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwakweli hajaamua..jaman kuachana ni kaz ngumu sana sana
tena hiz ndoa za kikristo mnatengana tu..kibabe tena!yaan haya mambo inabid uchunguze kwa upana sana toka mkiwa wapenzk..mie wangu niliwah mpa ukwel nikamwambia mbona nakuona km ww mbinafsi??akasema y nikamwambia..akajitetea hana uwezo coz yupo shule...nikawqmbia mbn na mm nasoma..akaishia kununa..nikaishia kumbembeleza..stupid..!sie wanaeake tunafunikwa sana na mahaba..baadaye tunakuja umia
Hivi na ma Counsellors huwa wanatakaga tu sides explanationsHii ni one sided story at least tungemsikia na yeye ana yapi tukatoa maamuzi sahihi
Laiti ingekuwa serious kweli uliamuaUsinukum TU Kuna kitu, umri, familia kuna vitu vingi ila Sasa serious nimeamua
You find a woman's weakness endearing, but a man's weakness disgusting.Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na huyu Mwanaume, nahofia kitu kimoja
1) Ukweni kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaani ni waganga sana. Je watanibakiza?
2) Nilitolewa mahari mil 1.6 bi mkubwa ameshakula na taratibu za kisukuma ukiolewa kama haujazaa mahari inarudi na faini juu, nafanyaje?
3) Jamaa nampenda japo simuhitaji nitaweza kusahau na kurudi katika hali ya kawaida?
Sababu za kumuacha
1) Sielewi nina roho mbaya au vipi lkn nahisi hii hali imenichosha.Mume wangu hajali sana kuhusu mimi wala maitaji yangu wala mahitaji ya familia lkn 90 anajali ndugu zake.
Before sijaishi nae nilikuwa nina kipharmacy changu ambacho kilikuwa kinanitosha tu kwa mahitaji yangu baada ya kunioa kimila ikabidi nimfuate mkoa mwingine na duka kuajiri mtu ambapo huwa naenda kukagua biashara baada ya mwez 1 japo mapato yamepungua Sana.
Kinachoniuma nimemuomba sana mume wangu anifungulie biashara huku nilipomfuata kutokana na fani yangu amekuwa mgumu sana ananiambia kaa tu kwanza so nimekuwa mtu wa kukaa tu ndani sina kipato chochote zaidi ya hicho kidogo nachopata nacho nakuweka kwenye ac ya familia.
Nina mtoto ambae nilizaa before yupo kwa mama angu nashindwa hata kutoa matumizi nyumbani kwetu kipato Sina,
Kinachoniuma mtaji sipewi lkn jamaa kila kitu anahudumia kwao tu.
3) Tangu mwaka Jana mwez wa 11 afya yangu sio nzuri naumwa mambo ya kizazi nimetibiwa hospitali za wilaya bila mafanikio ameshindwa hata kunipeleka kwa madaktari bingwa wa wanawake najua mwenzangu hana hela leo nimeshika simu yake nimeumia sana kuona salary ya mwezi huu imeingia mil 2 .3
Anajenga kwao hata kunipeleka hospital za maana hakuna kweli jaman?
Tangu kanioa hajaninunulia hata chochote juzi nipo nyumbani nilikuja kimatibabu mama akanipa hela nikanunua nguo jamaa nimemwambia kafurahi tu.
Kilichoniuma zaidi Leo, mwaka Jana tulilima mpunga kwa ajiri ya kuongezea tununue kiwanja tukapata magunia Kama 20 tu lao yameuzwa hela zinaweka milango kwao hata kupewa elf 50 ya nguo hakuna Wala kupewa tu taarifa hamna nimeumia Sana.
Yaani 15% tu ya kipato chake anatoa katika familia lkn 75% ya kipato chake anapeleka kwao.
Jamaa ni mhanisi TANESCO lkn ndani tunakalia viti na meza vya baa ukimwambia tununue kitu kwa ajiri ya ndani hataki.
Binafsi naona napoteza muda tu acha nikapambane kivyangu.
Naombeni ushauri namuachaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe si unajiita lady in action, unashindwaje sasa kufanya action??? usitupotezee tyme
Sent using Jamii Forums mobile app