Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye

Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye

Kwa kweli dada unapoteza muda, na unajichelewesha mwanaume mbinafsi sana, kwani kabla ya ndoa hakumhisi ana mambo ya kishirikina na tabia kama hizo za ubahili? Maana ukiona mtu anatabia kama hizi usidhani kwenye ndoa atabadilika ndo mambo yanazidi, halafu kuwa na mahusiano na mtu mshirikina ni hatari sana anaweza kukufanyia lolote hata kukuuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukisema mtu atabadilika nikujidanganya watu wenyewe kinantawile atakuja tolewa na yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafikiri bado hujachoka! Mtu alochoka hasubirii kuambiwa ondoka au baki!

Naamini kwenye akili yako una maamuzi ambayo unahisi ni sahihi kwako! Hebu fanya venye moyo wako unapenda!

umemaliza mama huu muda alokuja kiomba ushauri hapa angekua ashafungasha kila kitu
 
Tena huna mtoto nae my dear ondoka hapo…

huyo mwanaume ni selfish,hajali maslahi yako

…hii inamaanisha wewe sio priority kwake wala HAKUPENDI!.

.huo ndio ukweli.

.huo muda unaokaa hapo unakuzuia kukutana na mwanaume wa ndoto zako..

ukiendelea kukaa utaweza kushika mimba halafu usiwe na chance ya kufanya maamuzi.

..ondoka halafu usali upate mtu mwingine..

na pia kufanyia uchunguzi fursa zipi zinazokuzunguka

..your happiness is more important than anything else.

.usikubali mtu akakuondolea furaha...
 
I alwys admire u!😊
 
Huko siasani huwaga sipiti sana,labda ndio maana sikuoni...its good to be positive mamii..keep it up..

yeah..najikuta nakaa sana kule..!nilikua mkorofi sana mm...najishangaa nakuwa positive balaa😂😂..bt kuna magazine zilinibadilisha!thanks dear
 
Back
Top Bottom