Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye

Usinukum TU Kuna kitu, umri, familia kuna vitu vingi ila Sasa serious nimeamua
Aliyeamua aombi ushauri anafanya vitendo binafsi sioni safari yenu pamoja mmeo ni mbinafsi ila c kosa lake ndivyo kabila Leo lilivyo fanya maamuzi magumu kwa manufaa yako binafsi jipange vizuri ili ukiondoka usimwambie yeyote ata mama yako kakae sehemu nyingine uangalie maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka nifanye maamuzi magum ya kuachana na huyu. Mwanaume nahofia kitu kimoja
1) ukwen kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaan niwatu wa waganga Sana je watanibakiza???
2) nilitolewa mahari mil 1.6 bi mkubwa ameshakula na taratibu za kisukuma ukiolewa kama haujazaa mahar inarudi na fain juu nafanyaje?
3) jamaa nampenda japo simuhitaji nitaweza kusahau na kurudi katika hali ya kawaida?
Sababu za kumuacha
1) sielew ninaroho mbaya au vipi lkn nahisi hii hali imenichosha.. mme wangu hajal Sana kuhusu Mimi Wala maitaji yangu wala mahitaji ya familia lkn 90 anajar ndugu zake
...before sijaishi nae nilikua Nina kipharmacy changu ambacho kilikua kinanitosha tu kwa mahitaji yangu baada ya kunioa kimila ikabidi nimfate mkoa mwingine na duka kuajir mtu ambapo hua naenda kukagua biashara baada ya mwez 1 japo mapato yamepungua Sana
Kinachoniuma nimemuomba Sana mume wangu anifungulie biashara huku nilipomfata kutokana na fan yangu amekua mgum Sana ananiambia kaa tu kwanza so nimekua mtu wa kukaa tu ndani Sina kipato chochote zaidi ya hicho kidogo nachopata nacho nakuweka kwenye ac ya familia
Ninamtoto ambae nilizaa before yupo kwa mama angu nashindwa hata kutoa matumiz nyumban kwetu kipato Sina,
Kinachoniuma mtaji sipewi lkn jamaa kila kitu anahudumia kwao tu

3) tangu mwaka Jana mwez wa 11 afya yangu sio nzuri naumwa mambo ya kizazi nimetibiwa hosp za wilaya bila mafanikio ameshindwa hata kunipeleka kwa ma dr bingwa wa wanawake najua mwenzangu hana hela leo nimeshika cm yake nimeumia Sana kuona salary ya mwez huu imeingia mil 2 .3
Anajenga kwao hata kunipeleka hospital za maana hakuna kweli jaman?

Tangu kanioa hajaninunulia hata chochote juz nipo nyumban nilikuja kimatibabu mama akanipa hela nikanunua nguo jamaa nimemwambia kafurah TU

...kilichoniuma zaidi Leo,,, mwaka Jana tulilima mpunga kwa ajir ya kuongezea tununue kiwanja tukapata magunia Kama 20 tu lao yameuzwa hela zinaweka milango kwao hata kupewa elf 50 ya nguo hakuna Wala kupewa tu taarifa hamna nimeumia Sana.....
yaan 15% tu ya kipato chake anatoa katika familia lkn 75% ya kipato chake anapeleka kwao ....
jamaa eng tanesco lkn ndan tukalia viti na meza vya baa ukimwambia tununue kitu kwa ajir ya ndani hataki binafsi naona napoteza muda tu acha nikapambane kivyangu....
Naomben ushaur namuachaje???
Engineer Tanesco familia haina bima ya afya? kweli?
 
Wazazi wako na Wazazi wake,kama wapo hai

Basi jambo lirudishe kwao
Unahaki ya kupewa huduma za muhimu na lazima kisheria

Lkn
Kujenga kwao,lisikuume sana,huyo ni mzazi mwenzako,bado utakuwa na haki na yeye katika mali alizokuwa nazo

Muhimu
Kaa nae chini,msemeshe kwa maneno mazuri
kama hasikii maneno
Rudi kwa wazee,jambo limwage mezani

Pole sana ndg
Mola akufanyie wepesi katika kila zito lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli dada unapoteza muda, na unajichelewesha mwanaume mbinafsi sana, kwani kabla ya ndoa hakumhisi ana mambo ya kishirikina na tabia kama hizo za ubahili? Maana ukiona mtu anatabia kama hizi usidhani kwenye ndoa atabadilika ndo mambo yanazidi, halafu kuwa na mahusiano na mtu mshirikina ni hatari sana anaweza kukufanyia lolote hata kukuuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeamua aombi ushauri anafanya vitendo binafsi sioni safari yenu pamoja mmeo ni mbinafsi ila c kosa lake ndivyo kabila Leo lilivyo fanya maamuzi magumu kwa manufaa yako binafsi jipange vizuri ili ukiondoka usimwambie yeyote ata mama yako kakae sehemu nyingine uangalie maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante
 
Wazazi wako na Wazazi wake,kama wapo hai

Basi jambo lirudishe kwao
Unahaki ya kupewa huduma za muhimu na lazima kisheria

Lkn
Kujenga kwao,lisikuume sana,huyo ni mzazi mwenzako,bado utakuwa na haki na yeye katika mali alizokuwa nazo

Muhimu
Kaa nae chini,msemeshe kwa maneno mazuri
kama hasikii maneno
Rudi kwa wazee,jambo limwage mezani

Pole sana ndg
Mola akufanyie wepesi katika kila zito lako

Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi wazazi hasa waupande wake watanielewa juu ya hili??
 
Ana mada kibao juu ya malalamiko ya mumewe kwenye ndoa hakutokewi hukumu ya upande mmoja lazima kusikilizwe pande zote
Ya nn kumsikiliza yy dada kubwa kinachomuuma ni ubinafsi sijui ubahili wa mwanaume kuna mengne kweli ukisikia lazma utake kusikia upande wa pili kwa hili hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana mada kibao juu ya malalamiko ya mumewe kwenye ndoa hakutokewi hukumu ya upande mmoja lazima kusikilizwe pande zote

Humu JF si rahisi kupata ya upande wa pili, huwa tunakisia tu kwenye kutoa ushauri. Ila huyu nimeona thread zake za nyuma ni nyingi na ni kwa same case.
 
S ndio na mie nikasema kila sikuyeye mumewe naye ana ya kusema
Humu JF si rahisi kupata ya upande wa pili, huwa tunakisia tu kwenye kutoa ushauri. Ila huyu nimeona thread zake za nyuma ni nyingi na ni kwa same case.
 
Sababu kila siku analalama yeye pengine mwenzie ana yake ya kusema
Kumbe kila siku yeye ndo analalama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20190116_215619_547~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honestly no, lakini huyu threads zake nyingi zinahusu huyo mume hua had najiuliza pengine huyo baba anayo yake japo ye katoa dukuduku lake humu hatywez jua ndio mana nikasema hivo we pitia tu threads zake utaelewa
Madame, ushauri wote unaotoaga humu huwa unakuwa umepata stori ya upande wa pili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom