Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Poapoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mtoa uzi nikisema hajui anachohitaji sitakua mbali sana na ukweli, manake series yake ya matukio had alipofika with the same person dooohPoapoa
kabila gani huyoo?Nataka nifanye maamuzi magum ya kuachana na huyu. Mwanaume nahofia kitu kimoja
1) ukwen kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaan niwatu wa waganga Sana je watanibakiza???
2) nilitolewa mahari mil 1.6 bi mkubwa ameshakula na taratibu za kisukuma ukiolewa kama haujazaa mahar inarudi na fain juu nafanyaje?
3) jamaa nampenda japo simuhitaji nitaweza kusahau na kurudi katika hali ya kawaida?
Sababu za kumuacha
1) sielew ninaroho mbaya au vipi lkn nahisi hii hali imenichosha.. mme wangu hajal Sana kuhusu Mimi Wala maitaji yangu wala mahitaji ya familia lkn 90 anajar ndugu zake
...before sijaishi nae nilikua Nina kipharmacy changu ambacho kilikua kinanitosha tu kwa mahitaji yangu baada ya kunioa kimila ikabidi nimfate mkoa mwingine na duka kuajir mtu ambapo hua naenda kukagua biashara baada ya mwez 1 japo mapato yamepungua Sana
Kinachoniuma nimemuomba Sana mume wangu anifungulie biashara huku nilipomfata kutokana na fan yangu amekua mgum Sana ananiambia kaa tu kwanza so nimekua mtu wa kukaa tu ndani Sina kipato chochote zaidi ya hicho kidogo nachopata nacho nakuweka kwenye ac ya familia
Ninamtoto ambae nilizaa before yupo kwa mama angu nashindwa hata kutoa matumiz nyumban kwetu kipato Sina,
Kinachoniuma mtaji sipewi lkn jamaa kila kitu anahudumia kwao tu
3) tangu mwaka Jana mwez wa 11 afya yangu sio nzuri naumwa mambo ya kizazi nimetibiwa hosp za wilaya bila mafanikio ameshindwa hata kunipeleka kwa ma dr bingwa wa wanawake najua mwenzangu hana hela leo nimeshika cm yake nimeumia Sana kuona salary ya mwez huu imeingia mil 2 .3
Anajenga kwao hata kunipeleka hospital za maana hakuna kweli jaman?
Tangu kanioa hajaninunulia hata chochote juz nipo nyumban nilikuja kimatibabu mama akanipa hela nikanunua nguo jamaa nimemwambia kafurah TU
...kilichoniuma zaidi Leo,,, mwaka Jana tulilima mpunga kwa ajir ya kuongezea tununue kiwanja tukapata magunia Kama 20 tu lao yameuzwa hela zinaweka milango kwao hata kupewa elf 50 ya nguo hakuna Wala kupewa tu taarifa hamna nimeumia Sana.....
yaan 15% tu ya kipato chake anatoa katika familia lkn 75% ya kipato chake anapeleka kwao ....
jamaa eng tanesco lkn ndan tukalia viti na meza vya baa ukimwambia tununue kitu kwa ajir ya ndani hataki binafsi naona napoteza muda tu acha nikapambane kivyangu....
Naomben ushaur namuachaje???
Aisee mtoa uzi nikisema hajui anachohitaji sitakua mbali sana na ukweli, manake series yake ya matukio had alipofika with the same person doooh View attachment 1033955
Sent using Jamii Forums mobile app
Sion ushauri wa kumpa kwasababu hajui anaichohitaji angekua na dhamira ya dhati hata stage ya kutolewa mahari asingefika angeshamiza everything once & for all, sasa huku alikofika anapaswa afanye decisions mwenyewe for Her own consequencesUmeona eh sasa mpe ushauri
Sion ushauri wa kumpa kwasababu hajui anaichohitaji angekua na dhamira ya dhati hata stage ya kutolewa mahari asingefika angeshamiza everything once & for all, sasa huku alikofika anapaswa afanye decisions mwenyewe for Her own consequences
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu watashindwa kukusaidia kwa tabia zako, kama anachosema ni kwel bas afanye maamuz thabiti ila kama anachangamsha genge kuna siku atakuja na issue serious na watu wata generalize kuwa ameleta chai as usual!![emoji46]Labda atakusikia lakini sometimes nahisi anaftahisha genge
Watu watashindwa kukusaidia kwa tabia zako, kama anachosema ni kwel bas afanye maamuz thabiti ila kama anachangamsha genge kuna siku atakuja na issue serious na watu wata generalize kuwa ameleta chai as usual!![emoji46]View attachment 1034198
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni falaIstoshe zijasema hanipi matumiz ya mtoto ...mzazi mwenzangu keshatangulia mbele za haki
Mwanangu yupo kwa mama angu kanikuta nina biashara zangu namsomesha mtoto wangu medium lkn Sasa nimeolewa nimeacha biashara Sina kipato chochote mtoto namleaje?
Hahahha hivi unafikili rahisi je yupo tayari kuachana nae? Na anayeamua kuachana na mumewe au mke hawezi kuleta thread anafanya maamuzi yake kimya kimya unafanya mchezo na kuachana.Pole mwaya.
Achana nae tu mpendwa.
Umesema ni Kabila gan?Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na huyu Mwanaume, nahofia kitu kimoja
1) Ukweni kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaani ni waganga sana. Je watanibakiza?
2) Nilitolewa mahari mil 1.6 bi mkubwa ameshakula na taratibu za kisukuma ukiolewa kama haujazaa mahari inarudi na faini juu, nafanyaje?
3) Jamaa nampenda japo simuhitaji nitaweza kusahau na kurudi katika hali ya kawaida?
Sababu za kumuacha
1) Sielewi nina roho mbaya au vipi lkn nahisi hii hali imenichosha.Mume wangu hajali sana kuhusu mimi wala maitaji yangu wala mahitaji ya familia lkn 90 anajali ndugu zake.
Before sijaishi nae nilikuwa nina kipharmacy changu ambacho kilikuwa kinanitosha tu kwa mahitaji yangu baada ya kunioa kimila ikabidi nimfuate mkoa mwingine na duka kuajiri mtu ambapo huwa naenda kukagua biashara baada ya mwez 1 japo mapato yamepungua Sana.
Kinachoniuma nimemuomba sana mume wangu anifungulie biashara huku nilipomfuata kutokana na fani yangu amekuwa mgumu sana ananiambia kaa tu kwanza so nimekuwa mtu wa kukaa tu ndani sina kipato chochote zaidi ya hicho kidogo nachopata nacho nakuweka kwenye ac ya familia.
Nina mtoto ambae nilizaa before yupo kwa mama angu nashindwa hata kutoa matumizi nyumbani kwetu kipato Sina,
Kinachoniuma mtaji sipewi lkn jamaa kila kitu anahudumia kwao tu.
3) Tangu mwaka Jana mwez wa 11 afya yangu sio nzuri naumwa mambo ya kizazi nimetibiwa hospitali za wilaya bila mafanikio ameshindwa hata kunipeleka kwa madaktari bingwa wa wanawake najua mwenzangu hana hela leo nimeshika simu yake nimeumia sana kuona salary ya mwezi huu imeingia mil 2 .3
Anajenga kwao hata kunipeleka hospital za maana hakuna kweli jaman?
Tangu kanioa hajaninunulia hata chochote juzi nipo nyumbani nilikuja kimatibabu mama akanipa hela nikanunua nguo jamaa nimemwambia kafurahi tu.
Kilichoniuma zaidi Leo, mwaka Jana tulilima mpunga kwa ajiri ya kuongezea tununue kiwanja tukapata magunia Kama 20 tu lao yameuzwa hela zinaweka milango kwao hata kupewa elf 50 ya nguo hakuna Wala kupewa tu taarifa hamna nimeumia Sana.
Yaani 15% tu ya kipato chake anatoa katika familia lkn 75% ya kipato chake anapeleka kwao.
Jamaa ni mhanisi TANESCO lkn ndani tunakalia viti na meza vya baa ukimwambia tununue kitu kwa ajiri ya ndani hataki.
Binafsi naona napoteza muda tu acha nikapambane kivyangu.
Naombeni ushauri namuachaje?
Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na huyu Mwanaume, nahofia kitu kimoja