Mkuu sijawahi kuwaza ku fake jambo nyeti kama hili.Hii si kwamba unaandika script mkuu?
Kama Ni Hali halisi Basi utakuwa umetenda Jambo ambalo Ni la hekima na unusual kwa nature ya sisi wanaume.
Hongera sana kwa utangulizi.
Mtu anayeweza kufanya hili anajielewa
Inaelekea wewe ni aina ya watu walioshikiwa akili, mimi nina maisha yangu sitegemei maamuzi au matakwa ya ndugu au marafiki.anajielewa nini? Wazazi wako wanajua wanajua huo uamzi?